Rais Samia kuanza safari ya kikazi nchini DR Congo

Rais Samia kuanza safari ya kikazi nchini DR Congo

Mkuu mimi nafikiri ziara zake kwa majirani zetu ni muhimu,kuimalisha usalama ,uchumi,elimu na tekinologia, utamaduni na michezo,afya n.k
Mkuu wangu Kongole kwa kuliona hilo👊

#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#SiempreJMT
 
Huijui Kabul wewe.
Endelea kuwa sukule kwa kupiga makofi na kushangilia.
🤣🤣Mkuu nimemjibu Komredi Bujibuji kuwa "Kabul si kwa kitoto"....

Enhe mzoefu wangu Residentura nipe somo la uwepo wako Kabul....najua mlitimuliwa na mkarudi Moscow wanguwangu...🤣
 
Unapodai kuwa Kenya,Rwanda na Burundi zina tija kwa uchumi wa Tanzania umetumia data na statistics gani?Umetumia credible source gani katika information zako?Umetumia tafiti gani za uchumi?Haya mambo ya uchumi siyo mambo ya kupiga porojo kama alivyokuwa anafanya magufuli bali ni masuala ya data kutoka kwenye credible sources pamoja na tafiti.

Unapodai kwa mfano kuwa Congo au Rwanda ina tija katika uchumi wetu umelinganisha nchi hizi na nchi gani?Rwanda inaweza kuwa na tija katika uchumi wetu kumbe tija yake ni ndogo mara kumi ukilinganisha na nchi nyingine kutoka Ulaya na marekani kwa mfano.Haya mambo ya tija katika uchumi yanahitaji ufanye kwanza comparative analysis ya masuala mazima ya uchumi.Umefanya comparative analysis gani katika nchi mbalimbali hadi ugundue kuwa Congo inapaswa kupewa kipaumbele katika ziara za Rais kwa sababu ina tija kwetu kuliko nchi nyingine kutoka mfano ulaya na Marekani?

Wewe unaongea tu porojo kuwa Rwanda,Burundi sijui Congo zina tija kwetu bila kuwa na credible sources za data,statistics,informations na kadhalika.Mbaya zaidi hujafanya comparative analysis yoyote ile katika nchi mbalimbali ili kujua ni nchi zipi kwa uhakika zina tija kwetu kabla ya kufikia conclusion yako.Haya mambo huwa hayafanywi kama unavyotaka kufanya hapa.Haya mambo ni sayansi.

Huyu Mama wa Kambo anaependa kuzurura kama yale mapaka yasiyofugwa yeye anaenda tu Congo huko na kadhalika ila mradi aonekane kuwa Rais yupo ziarani.She is inept.
Umemaliza yote.
Kongole kwako mkuu@Behaviourist .
 
Hawezi kufanikiwa kuleta wawekezaji wakati sheria ni zile zile, ubambikiaji ni ule ule, kubadilisha sheria za kodi kila mwaka ni kulekule, mwekezaji gani mjinga ataenda nchi kama hiyo? Anayewabambikia watu kuwa ni wauaji, hawezi kushindwa kukubambikia wewe kuwa umekwepa kodi.
Mungu akubariki mkuu Hamatan
 
Washajua hakuna chochote anachojua.
Washamsoma kuwa huyu hamna kitu, aisee Ila safari hii tumepatikana. CCM watavuna kwa kadri ya watavyoweza.
Hebu fikiria mwenyekiti wa CCM mkoa nae anahudhuria sherehe ya uapisho wa raisi
Mwenyekiti wa CCM yupi huyo ndugu Memento ?
 
Marekebisho kidogo ya Kiswahili, ni hivi sema "hutarajii" siyo "sitegemei"! Sasa kwenye hoja ni kuwa hata kama SSH alisema yeye na JPM ni kitu kimoja, lakini kwenye utendaji kila mmoja ana staili yake. Ndio maana tunaona approach tofauti katika utendaji wao. Kuhusu hayo maswali wewe subiri tu utaona hao "wazungu" watakavyo haha wakati wakijibiwa hivyo viswali vyao. Si ulimwona nani yule - Kikeke alivyojibiwa hadi akakubali mwenyewe na yule bosi wake wa BBC. Au umeshasahau mara hii tu?
Labda nikukumbushe kuwa "Salumu" Kikeke ni mbongo na mbongo kutumika ni rahisi sana
Ni mtoto mdogo kwenye tasnia ya habari..
Wakina Shaka Sali na yule wa hard talk aliyemuhoji Lisu hawezi kukubali mialiko yao,ataogopa tu.
Yeye na jpm ni sawa tu tofauti ni jinsia.
 
Hebu angalia uteuzi wa waziri wa mambo ya nje ,mh.Liberata Mulamula....uteuzi bora kabisa....

Mh.Mulamula ana uwezo mkubwa na masuala ya DIPLOMASIA...uchumi wa kidiplomasia.....na ndio maana TEUZI ZA MABALOZI zimesimama kwenda KUTUINUA KIUCHUMI HUKO ughaibuni(nchi zilizoendelea)....

Wacha mh.Rais aanze na ziara za hapa karibu.....
Umepotoka sana.
 
Hilo sasa ni suala la tabia na ukosefu wa uadilifu wa hao watendaji na suala la viwango vya adhabu kwa mijizi hiyo ni suala la watunga sheria na serikali katika kuwapa adhabu mijizi hiyo. Haya hayana uhusiano na tozo na kodi tunazopaswa kuchangia kwa ajili ya maendeleo yetu.
Wewe sukule,yaani unakubali kumpa hela baba yako ambayo una uhakika wa asilimia 200 kuwa ataenda kuhonga mwanamke au kunywea pombe kisa ni baba yako nawe ni mtoto!!???
 
Mimi ni muumini wa regional intergration zaidi kuliko inter-continental, nawaona hao jamaa zako walioendelea kama ni watu wa kutafuta fursa za kunyonya nchi zinazoendelea tu ( Refer masharti ya bandari ya bagamoyo). Hizi nchi jirani tunafanya biashara yenye kuaminiana zaidi kila pande ikipata maslahi halali kulingana na huduma inayoitoa kwa mwenzake.

Kwenda kuwapigia magoti wazungu na kopo la misaada zama zake naona kama zimeshapitwa na wakati.
Kukubali chanjo ya J & J kumetupa kiasi gani cha hela!!??
Huko ni kupiga magoti ama ni kupiga "makofi"!!??
Mkopo wa 2.7 tirioni,tumepewa kutokana na mahusiano mema ya " regional intergration" ama nini!!??
Tulikataa mkopo wa masharti nafuu na "riba free" ya "Covax", leo tumekubali mkopo wenye riba wa "2.7 tirioni" , hiyo ni akili ama matope!!???
 
Kama mshauri wake ni vasco da gama unategemea nini?

Halafu nchi anazosafiri kwenda zina mchango mdogo kwenye uchumi wetu.

Asafiri kutafta wawekezaji wa maana huko Ulaya walete mitaji kutusaidia ku exploit hizi natural resources tulizonazo.

Sio muda utasikia ana ziara Somalia.

Yaani hapa tumeingia cha kike kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukikaa nchale, ukisimama nchale, ukiruka nchale, ukikimbia nchale, ukifanya chochote nchale..

JPM alikuwa hasafiri kabisa tukaimba hapa wee Rais hasafiri, aende akajifunze akapate exposure, yeye humuhumu na misafara gharama kubwa na kelele kibao tukampigia..

Sasa, ameingia mama amesikia kilio chenu anasafiri...tumeanza kelele tena.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom