Simpo tu Mkuu!
Pointi yangu ya kwanza, nilihoji why Mkuu unahoji credibility ya taarifa taarifa bila kutoa credible information kujustify ukandiaji wako.
Ukanijibu kindly, lengo la maswali yako ni kuhoji whether information ni official au porojo.
Maana yake ulitaka uliyemuhoji aambatanishe vielelezo kusapoti alichokisema..
Ila nikiangalia komenti yako #17, ni maneno matupu tu yasiyo na vielelezo vyovyote..
Maana yake Mkuu, unachosimamia, au unachodhani ni sahihi sicho unachoamini..
Ndio kukutaka ikiwezekana, ukaedit comment yako kwa kuattach vielelezo.
Simply there is high inconsistency kati ya unachosimamia na unachoamini.