Rais Samia kuanza Ziara ya Siku 3 Nchini Ghana. Hii ni ziara ya 12 tangu aingie madarakani

Labda kama ameenda na nany au sister ila wife mmhhh, au askofu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hembu kwanza mtaje hapa,🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Ndugu yangu hukuona picha yake na mkewe wakipokelewa Uswisi?
 
Huyu mama kwa Safari atapewa Tuzo ya Oscar na Nobel

Machinga wanafukuzwa, watumishi wanakwiba Mali za umma,

Yeye Ni Safari tu Kila wiki ,

Hii nchi tulilaaniwa, Rais alikuwa JPM tu
Huyo huyo JPM mlimuita mshamba anayeogopa kuongea kingereza ikiwa ni sababu ya yeye kutosafiri.

Malalamiko yakiwa mengi tunatengeneza mazingira ya kumkufuru Mungu.
 
Na tozo bado ziko palepale.
Mie hapo tu ndio pananiumiza roho.
Atuondolee tozo. Maisha yamepanda bei.

Maanakw kama nchi inapitia wakati mgumu basi angepunguza matymuzi kwa kusimisha safari za nje. Atumie zaidi mabalozi. Hadi pale uchumi utakapokuwa sawa
 
Ikumbukwe pia kuwa GHANA Ina KATIBA Bora sana. Atapata uzoefu pia. Amen
 
Huyu mama kwa Safari atapewa Tuzo ya Oscar na Nobel

Machinga wanafukuzwa, watumishi wanakwiba Mali za umma,

Yeye Ni Safari tu Kila wiki ,

Hii nchi tulilaaniwa, Rais alikuwa JPM tu
Kawaruhusu waibe sasa akae afanye nini tena?
 
Hivi huwa hawaoni aibu kuzipokea hizo tuzo?yaani nikiangalia mikoa mingi hamna barabara,maji yaani kila kitu.Dar es salaam ambao ndo jiji la kibiashara miundombinu yake mibovu na hakuna maji baadhi ya sehemu toka tupate uhuru(jimbo la kibamba) huku unasikia mtu anapokea tuzo kweli! Tuache vichekesho kwenye mambo ya masilahi makubwa ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mama kwa Safari atapewa Tuzo ya Oscar na Nobel

Machinga wanafukuzwa, watumishi wanakwiba Mali za umma,

Yeye Ni Safari tu Kila wiki ,

Hii nchi tulilaaniwa, Rais alikuwa JPM tu
Liacheni lizurure!
 
Hiyo tuzo inastahili apewe Marehemu na mke wake aende aipokee. Bi Mkora hajafanya chochote kwenye miundombinu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…