Rais Samia kufanya ziara nzito ya kikazi mkoani Ruvuma wiki ijayo

Serikalini au kitengo process ni ndefu sio wananchi wote wenye uwezo wa kupeleka huko , wamejaa madali kibao wanapeleka mizigo ya wakulima wakubwa na wanaonunua mtaani 350 wanapeleka kuuza serikalini 700. Pia usumbufu wa kuchambua mahindi kule NFR unawakimbiza wakulima wadogo maana ni lazima uwe na vibarua wa kuchambua , uwalishe ,makuli wa kubeba nk
wanafanya makusudi ili mtu ajiongeze atoe rushwa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ,Anatarajiwa Kufanya Ziara Nzito ya Kikazi Mkoani Ruvuma Wiki Ijayo ambayo inatarajiwa kutamatika Tarehe 29.

Ambapo Akiwa Mkoani Ruvuma anatarajiwa kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM,kukagua miradi mbalimbali ikiwepo ujenzi wa magodown takribani 28 yaliyojengwa kati ya 50 yanayotarajiwa kujengwa.

Lakini pia Rais wetu Mpendwa anatarajiwa kukagua miradi ya kilimo,kituo cha madini na mambo mengine makubwa mbalimbali ambayo yatafanywa na Mheshimiwa Rais.Ambapo pia Mama yetu na Rais wetu anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Tamasha La Utamaduni linalofanyika Mkoani humo katika uwanja wa Majimaji.

Rais wetu Mpendwa anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, anaendelea kuwa karibu na watanzania na kuangalia kwa ukaribu namna wanavyopata huduma na namna mabilioni kwa mabilioni ya pesa anayotoa yanavyoleta mabadiliko na nuru pamoja na tabasamu kwa maisha ya watu.

Anakwenda kuangalia utekelezaji wa maagizo yake na kushuhudia namna Kasi ya maendeleo inavyoendelea chini ya uongozi wake, ambao umeendelea kukonga mioyo ya watu wengi sana kutokana na kukidhi matarajio na kukata kiu ya wengi. Anakwenda kusikiliza kero za watanzania kupitia wawakilishi wao kama vile wabunge pamoja na kuzipatia ufumbuzi au majibu stahiki

View attachment 3100972

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Na atazindua utitiri wa miradi ambayo Wananchi wanafurahia Huduma.
 
Mama kazi iendelee
 
Acha washikiliwe tu ili wahojiwe na haki itendeke kwa wote.
 
Sijuhi atakuwa na maumivu ya kukosa Safari za kula bata kwa mabeberu au anachukulia poa??
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ,Anatarajiwa Kufanya Ziara Nzito ya Kikazi Mkoani Ruvuma Wiki Ijayo ambayo inatarajiwa kutamatika Tarehe 29.

Ambapo Akiwa Mkoani Ruvuma anatarajiwa kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM,kukagua miradi mbalimbali ikiwepo ujenzi wa magodown takribani 28 yaliyojengwa kati ya 50 yanayotarajiwa kujengwa.

Lakini pia Rais wetu Mpendwa anatarajiwa kukagua miradi ya kilimo,kituo cha madini na mambo mengine makubwa mbalimbali ambayo yatafanywa na Mheshimiwa Rais.Ambapo pia Mama yetu na Rais wetu anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Tamasha La Utamaduni linalofanyika Mkoani humo katika uwanja wa Majimaji.

Rais wetu Mpendwa anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, anaendelea kuwa karibu na watanzania na kuangalia kwa ukaribu namna wanavyopata huduma na namna mabilioni kwa mabilioni ya pesa anayotoa yanavyoleta mabadiliko na nuru pamoja na tabasamu kwa maisha ya watu.

Anakwenda kuangalia utekelezaji wa maagizo yake na kushuhudia namna Kasi ya maendeleo inavyoendelea chini ya uongozi wake, ambao umeendelea kukonga mioyo ya watu wengi sana kutokana na kukidhi matarajio na kukata kiu ya wengi. Anakwenda kusikiliza kero za watanzania kupitia wawakilishi wao kama vile wabunge pamoja na kuzipatia ufumbuzi au majibu stahiki

View attachment 3100972

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Amewakimbia wa marekani hana lolote......kama kweli amiri geshi angeenda US akaseme aliyoròpoka juzi
 
Back
Top Bottom