Rais Samia kufanya ziara ya kikazi ya Siku Tano Nchini Uturuki kuanzia Tarehe 17-21 Mwezi huu

Nchi za wenzetu wakifanya hizi ziara zina ambatana na kutoa vikwazo vyote baina ya nchi husika ikiwemo Visa kwa raia wa pande zote mbili na vyengine kama kutafuta masoko, kuondoa vikwazo vya kiuchumi nk.
Lakini mbona hatuoni haya sisi raia wa kawaida au ni kwa wakubwa tu?
Yote kwa yote safari njema rais wethu.
 
Hatua Moja huanzisha nyingine,mambo hayo huanzia ngazi ya Marais
 
Katika wote aliojipendekeza kuwatembelea nani kaja huku kwake?

Mnaibiwa na wanao-wachangisha, nendeni polisi au takukuru.
Sio Kwa shehe mkuu?
 
H
Hakuna alipojipendekeza ila wao ndio walimualika.

Madam Kamala kaja,Rais wa Germany kaja(hapa mama hajawahi kwenda Germany),na wengine wengi kutoa Ulaya na Asia.

Ropoka kingine
Huyo Kamala na rais wa German ni wakuu wa sirikali? Acha upoyoyo hao ni wakutumwa tu...ila huyu wa kwetu hajawahi wakilishwa Kila mahali ni yeye tuuu...aibu
Madrassa haziendeshwi na serikali.
Muulize yule Babu khamenei kama hachagishi madrasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…