Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Na asiwaletee ajenda zake za wanawake wanawake, hamsini kwa hamsiniAje amejiandaa kuongea na wanaume
Uwe na adabu na heshima kwa Rais wetu unatakiwa kuandika/kusema Rais Samia kuanza ziara ya Siku mbili mkoani Mara
Kwani Samia sio jina lake?Simkubali kabisa Raisi Samia, ila sio sawa kuandika " Samia kuanza ziara ya siku mbili Mara"., Hata mama yako asiye na cheo huwezi kumuita Elizabeth au Mwasiti lazima utaanza na neno MAMA. Nahisi umelelewa kijiweni na mzazi mmoja na pengine umeathirika na bangi ingawa una uwezo wa kupost thread..
Punguza Upuuzi Nimuite Mama Huyo Ni Mamangu Mzazi? Ukiita wewe Rais au Mama Inatosha, tusipangiane Jinsi ya Kuita WatuSimkubali kabisa Raisi Samia, ila sio sawa kuandika " Samia kuanza ziara ya siku mbili Mara"., Hata mama yako asiye na cheo huwezi kumuita Elizabeth au Mwasiti lazima utaanza na neno MAMA. Nahisi umelelewa kijiweni na mzazi mmoja na pengine umeathirika na bangi ingawa una uwezo wa kupost thread..
Lengo ni kupiga pesa za ummaKazi Iendelee
Samia anatajia kufanya ziara ya siku 2 Kuanzia Trh.4-5/02/2022.
Samia atahudhuria pia maadhimisho ya Kuzaliwa Kwa CCC ambayo yanahadhimishwa Kila mwaka trh.05/02.
Kilele Cha Maadhimisho Hayo kinafanyika Kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkendo, Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara.
Sent using Jamii Forums mobile app