Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Kwako wewe maelfu ya wananchi unamaanisha nini mkuu?Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakwenda kuitikisa na kuisimamisha kanda ya kaskazini. Anakwenda kuitetemesha Kaskazini yote hadi Nchi Jirani.
Anakwenda kutua jijini Arusha na kupokelewa kwa kishindo kikuu na Maelfu kwa Maelfu ya wananchi wa kanda ya kaskazini katika Tukio la kwenda kufungua Mkutano wa Mawakili Wa serikali Nchini.
Embu Soma hapa 👉Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya siku moja mkoani Arusha Julai 13, 2026, ambapo atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, amesema mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) na utawakutanisha mawakili wa Serikali kutoka taasisi mbalimbali kujadili masuala yanayohusu sekta ya sheria.
Makalla amesema maandalizi ya kumpokea Rais Samia na kufanikisha mkutano huo yamekamilika kwa asilimia 100, huku Serikali ya Mkoa wa Arusha ikiendelea kushirikiana na waandaaji kuhakikisha shughuli zote zinafanyika kwa mafanikio.
Aidha, amewakaribisha wananchi wa Arusha kujitokeza kumpokea Rais na kutoa ushirikiano utakaowezesha ziara hiyo kufanyika kwa mafanikio.
Mkutano huo wa siku mbili umebeba kaulimbiu isemayo, "Haki, Wajibu na Utawala wa Sheria ni Msingi wa Utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050."
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
kila la kheri rais Dr.Samia Suluhu HassanNdugu zangu Watanzania,

Utakuwepo wa Humbozi!Ndugu zangu Watanzania,

Niko hapa arusha sizioni hayo maandalizi hebu ngoja nisogee apo ccm mkoa lbda nitaonaNdugu zangu Watanzania,

Mnduku wakoNdugu zangu Watanzania,

Yaani uko kama una mtindio wa ubongoNdugu zangu Watanzania,

Siyo kama, huyo ana mtindio wa ubongo kweli, hata ukimuona kichwa chake kama kitunguu majiYaani uko kama una mtindio wa ubongo
Sio chama Cha mawakili Bali ni mkutano wa mawakili wa serikali
Wale mawakili wa serikali kama kina Katuga na Mrema
Panya buku wewe, hao watu ulikutana nao lini wakakupa ahadi hiyo.Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakwenda kuitikisa na kuisimamisha kanda ya kaskazini. Anakwenda kuitetemesha Kaskazini yote hadi Nchi Jirani.
Anakwenda kutua jijini Arusha na kupokelewa kwa kishindo kikuu na Maelfu kwa Maelfu ya wananchi wa kanda ya kaskazini katika Tukio la kwenda kufungua Mkutano wa Mawakili Wa serikali Nchini.
Embu Soma hapa 👉Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya siku moja mkoani Arusha Julai 13, 2026, ambapo atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, amesema mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) na utawakutanisha mawakili wa Serikali kutoka taasisi mbalimbali kujadili masuala yanayohusu sekta ya sheria.
Makalla amesema maandalizi ya kumpokea Rais Samia na kufanikisha mkutano huo yamekamilika kwa asilimia 100, huku Serikali ya Mkoa wa Arusha ikiendelea kushirikiana na waandaaji kuhakikisha shughuli zote zinafanyika kwa mafanikio.
Aidha, amewakaribisha wananchi wa Arusha kujitokeza kumpokea Rais na kutoa ushirikiano utakaowezesha ziara hiyo kufanyika kwa mafanikio.
Mkutano huo wa siku mbili umebeba kaulimbiu isemayo, "Haki, Wajibu na Utawala wa Sheria ni Msingi wa Utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050."
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Bado umempa sifa,kituu tunaumia wote,huyo ni Fisi!Siyo kama, huyo ana mtindio wa ubongo kweli, hata ukimuona kichwa chake kama kitunguu maji
TunatumiaBado umempa sifa,kituu tunaumia wote,huyo ni Fisi!
Who cares? Faki zati bi+ch!Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakwenda kuitikisa na kuisimamisha kanda ya kaskazini. Anakwenda kuitetemesha Kaskazini yote hadi Nchi Jirani.
Anakwenda kutua jijini Arusha na kupokelewa kwa kishindo kikuu na Maelfu kwa Maelfu ya wananchi wa kanda ya kaskazini katika Tukio la kwenda kufungua Mkutano wa Mawakili Wa serikali Nchini.
Embu Soma hapa 👉Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya siku moja mkoani Arusha Julai 13, 2026, ambapo atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, amesema mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) na utawakutanisha mawakili wa Serikali kutoka taasisi mbalimbali kujadili masuala yanayohusu sekta ya sheria.
Makalla amesema maandalizi ya kumpokea Rais Samia na kufanikisha mkutano huo yamekamilika kwa asilimia 100, huku Serikali ya Mkoa wa Arusha ikiendelea kushirikiana na waandaaji kuhakikisha shughuli zote zinafanyika kwa mafanikio.
Aidha, amewakaribisha wananchi wa Arusha kujitokeza kumpokea Rais na kutoa ushirikiano utakaowezesha ziara hiyo kufanyika kwa mafanikio.
Mkutano huo wa siku mbili umebeba kaulimbiu isemayo, "Haki, Wajibu na Utawala wa Sheria ni Msingi wa Utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050."
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
ATajijua mwenyewe.Ndugu zangu Watanzania,

Mungu atatenda Hakika!Hao maelfu ni chawa waliopangwa tayari na kulipwa buku 7 , fulana na kofia ili kudanganya watu muuaji anakubalika.
Arusha ndio mkoa wa pili ulioongoza kwa vifo vingi kwenye maandamano ya October 29 hivyo muuaji hawezi kupata organic coverage zaidi ya kusafirisha machawa wa buku 7.
Tukio kubwa la kukumbukwa ni mama huyu aliyekua na ujauzito wa miezi 3 alipigwa risasi na vibaka wa policcm.View attachment 3627628
View attachment 3627629
Haki itashinda ni suala la muda.Mungu atatenda Hakika!
Aliua watanganyika ili awe anafungua mikutano.Ndugu zangu Watanzania,