Rais Samia Kufungua Mkutano wa Chama cha Mawakili Hapo Kesho Jijini Arusha. Maelfu ya Wananchi wajiandaa Kumpokea Kwa Kishindo Kikuu

Washamjulia hapo lazima wampe tuzo afurahi, utasikia tuzo ya wakili kinara wa kutetea haki za wanyonge hahahaaa
Ukiwa mjinga wahuni watakuchezea sana akili!.
 
Upotoshaji kupitia iyo iyo picha uyo Mama kaanguka tu mwenyewe kwenye alakati za kuwakimbia
Polisi👈
 
Alichaguliwa na nani kuwa Raisi?
Na watanzania wenye akili Timamu na wanaojitambua. Zingatia maneno wenye akili Timamu na wanaojitambua. Kwa hiyo kama hukumchagua bila shaka utakuwa unajua upo kwenye kundi lipi
 
WAKATI WA UFUNGUZI WATANGANYIKA TUNATAKA KUJUA HAMPHREY POLEPOLE ALIMUUA NA KUMPELEKA WAPI?ATUELEZE ALIKOWAPELEKA WATANGANYIKA MAELFU NA MAELFU WALIOTEKWA.ASIPOTUAMBIA AJIANDAE AWAMU YA PILI YA MAANDAMANO AMBAYO HAYATAMWACHA SALAMA.
 
Ondoa ujinga wako hapa wewe
 
Na watanzania wenye akili Timamu na wanaojitambua. Zingatia maneno wenye akili Timamu na wanaojitambua. Kwa hiyo kama hukumchagua bila shaka utakuwa unajua upo kwenye kundi lipi
Hakuna mwanadamu mwenye akili timamu anayeweza kuunga mkono utawala uliojaa damu za watoto na vichanga.
Mmebaki tu misukule kama wewe na Co
 
Hakuna mwanadamu mwenye akili timamu anayeweza kuunga mkono utawala uliojaa damu za watoto na vichanga.
Mmebaki tu misukule kama wewe na Co
Utawala huu wa Rais wetu Mpendwa ni safi na ndio Maana unaendelea kuungwa mkono na watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…