PreGE2025 Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hizo stori hazitaksaidia kama unagombea toa bahasha.

Nikukubli wewe ni Mke/mume au mzazi wangu?
 
Tia neno Tlaatlaah na wenzake wapone Mkuu
maelezo na ufafanuzi wangu wa kina kuhusu mambo hayo, nadhani umeeleweka na kukubalika na wadau wote JF,

kwenye hilo nimefurahi sana,
asanti kwa kunielewa Cute Wife, inapendeza sana kua pamoja kama familia moja na taifa kwa ujumla tukiongozwa na Dr.Samia Suluhu Hassan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…