Rais Samia: Kuhusu wabunge 19 wa viti maalumu tuiachie Mahakama, siwezi kusema neno

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Katika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke.

Rais ameyasema hayo kwenye mkutano wa BAWACHA wakiazimisha siku ya wanawake duniani.

Aidha kuhusu suala la wabunge 19 wa viti maalumu amesema suala hilo liachiwe mahakama.
 
Hiyo ni NYUNDO ya utosini
 
Mama kakwepa mtego kaulinda uhuru wa mahakama nje yapo leo tena angeibuwa mjadala mzito juu ya uhuru wa mahakama
 
Katika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke.

Rais ameyasema hayo kwenye mkutano wa BAWACHA wakiazimisha siku ya wanawake duniani.

Aidha kuhusu suala la wabunge 19 wa viti maalumu amesema suala hilo liachiwe mahakama.
Mh 🤔🤔 sasa walinda legacy na wazee wa buku saba itakuaje? Mwenyekiti kasema acha Mahakama itoe hukumu. Huku walinda legacy na wazee wa buku saba wanadai Mbowe kawaweka ili ale pesa!!
 
FqsZ2lwWwAA8eIX

Ufunge ndoa kwa sheikhe talaka uifate kwa paroko- huipati
 
Katika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke.

Rais ameyasema hayo kwenye mkutano wa BAWACHA wakiazimisha siku ya wanawake duniani.

Aidha kuhusu suala la wabunge 19 wa viti maalumu amesema suala hilo liachiwe mahakama.
umenuna nunaa lakini hii ni Tanzania ya SSH siyo ya nyapala magufuli
 
Katika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke.

Rais ameyasema hayo kwenye mkutano wa BAWACHA wakiazimisha siku ya wanawake duniani.

Aidha kuhusu suala la wabunge 19 wa viti maalumu amesema suala hilo liachiwe mahakama.

Mbona mlisema akina Mdee watasamehewa rasmi leo?
Imekuaje tena mnabadili mada?
 
Back
Top Bottom