Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hiyo ni NYUNDO ya utosiniKatika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke.
Rais ameyasema hayo kwenye mkutano wa BAWACHA wakiazimisha siku ya wanawake duniani.
Aidha kuhusu suala la wabunge 19 wa viti maalumu amesema suala hilo liachiwe mahakama.
Mh 🤔🤔 sasa walinda legacy na wazee wa buku saba itakuaje? Mwenyekiti kasema acha Mahakama itoe hukumu. Huku walinda legacy na wazee wa buku saba wanadai Mbowe kawaweka ili ale pesa!!Katika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke.
Rais ameyasema hayo kwenye mkutano wa BAWACHA wakiazimisha siku ya wanawake duniani.
Aidha kuhusu suala la wabunge 19 wa viti maalumu amesema suala hilo liachiwe mahakama.
Kama Kwa kikekeMama kakwepa mtego kaulinda uhuru wa mahakama nje yapo leo tena angeibuwa mjadala mzito juu ya uhuru wa mahakama
umenuna nunaa lakini hii ni Tanzania ya SSH siyo ya nyapala magufuliKatika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke.
Rais ameyasema hayo kwenye mkutano wa BAWACHA wakiazimisha siku ya wanawake duniani.
Aidha kuhusu suala la wabunge 19 wa viti maalumu amesema suala hilo liachiwe mahakama.
Katika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke.
Rais ameyasema hayo kwenye mkutano wa BAWACHA wakiazimisha siku ya wanawake duniani.
Aidha kuhusu suala la wabunge 19 wa viti maalumu amesema suala hilo liachiwe mahakama.