Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kikoboga, Mikumi – Morogoro umefikia asilimia 75. Uwanja huo wenye njia ya ndege yenye urefu wa kilomita 1.8 utakuwa na jengo la abiria lenye uwezo wa kuhudumia watu 160, pamoja na jengo la Kikosi cha Zimamoto.
Mradi huo unalenga kurahisisha usafiri wa watalii, kuongeza mapato yatokanayo na utalii na kuimarisha mtandao wa miundombinu ndani ya Hifadhi ya Taifa Mikumi.
Mradi huo unalenga kurahisisha usafiri wa watalii, kuongeza mapato yatokanayo na utalii na kuimarisha mtandao wa miundombinu ndani ya Hifadhi ya Taifa Mikumi.