GE2025 Rais Samia Kuitetemesha Mwanza Mjini Leo. Hotuba yake kuisimamisha Nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mgombea Urais Kupitia CCM anatarajiwa kutua ndani ya Mwanza Mjini kwa ajili ya kufanya mkutano mkubwa wa kampeni.

Ambapo mpaka sasa Mwanza Mjini imesimama na kuzizima. Maelfu na maelfu ya wananchi wapo tayari kumpokea Mama yetu Mpendwa. Kanda ya Ziwa kwa Kauli moja inasema inakwenda kutiki Kwa Mama. Kanda ya Ziwa inakwenda kuweka historia hii leo ya Mapokezi makubwa ,ya heshima na mazito.

Ikumbukwe ya kuwa Rais Samia amepeleka na kutekeleza miradi mikubwa sana ya maendeleo kuanzia barabara,madaraja ,shule, zahanati,vituo vya afya na mengine mengi sana yaliyogusa Maisha ya watu.

Lakini pia Rais Samia anatarajiwa kutoa hotuba kali sana hii leo. Ambapo ataelezea mambo makubwa aliyoyafanya kwa Mkoa wa Mwanza katika kipindi kifupi cha uongozi wake. Usipange kukosa hii leo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ata pole pole alikuwa hivi hivi kwa magufuli
 
Anatetemesha makali* yako punda wewe.
 
Pumbavu wewe, si mmeifungia JF, sasa wewe umeingiaje hapa. Ulaaniwe

Huyo mama anashindana na nani? Mbunge wa nafasi ya urais
 
Back
Top Bottom