GE2025 Rais Samia Kuitetemesha Mwanza Mjini Leo. Hotuba yake kuisimamisha Nchi

GE2025 Rais Samia Kuitetemesha Mwanza Mjini Leo. Hotuba yake kuisimamisha Nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama kutompenda Samia ni ujinga, basi mi mjinga hasa.
Huna huruma na Taifa letu kabisa linakoelekea umekalia uchawa tu
Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mgombea Urais Kupitia CCM anatarajiwa kutua ndani ya Mwanza Mjini kwa ajili ya kufanya mkutano mkubwa wa kampeni.

Ambapo mpaka sasa Mwanza Mjini imesimama na kuzizima. Maelfu na maelfu ya wananchi wapo tayari kumpokea Mama yetu Mpendwa. Kanda ya Ziwa kwa Kauli moja inasema inakwenda kutiki Kwa Mama. Kanda ya Ziwa inakwenda kuweka historia hii leo ya Mapokezi makubwa ,ya heshima na mazito.

Ikumbukwe ya kuwa Rais Samia amepeleka na kutekeleza miradi mikubwa sana ya maendeleo kuanzia barabara,madaraja ,shule, zahanati,vituo vya afya na mengine mengi sana yaliyogusa Maisha ya watu.

Lakini pia Rais Samia anatarajiwa kutoa hotuba kali sana hii leo. Ambapo ataelezea mambo makubwa aliyoyafanya kwa Mkoa wa Mwanza katika kipindi kifupi cha uongozi wake. Usipange kukosa hii leo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyu anatetemesha ku...n.du lako tu. Jinga. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Mhe. Lissu : Je unafahamu 1964 hadi 1994 watu ilikuwa ni lazima wawe wanachama wa CCM?

George: NI SAHIHI KABISA.

Mhe. Lissu : Je unafahamu kipindi hicho chote ukitaka kuingia chuo cha kwanza wanauliza kadi ya CCM?

George: SIJUI HILO.

Mhe. Lissu : Ukitaka kuwa mtumishi wa umma katika kipindi hicho lazima uwe mwanaCCM katika kipindi hicho?

George : Sijui kabisa.

Mhe. Lissu : Hufahamu kwasababu hamjui historia ya nchi hii.

Waeleze majaji Jaji Elizer Feleshi, Ferdinand Wambari, Jaji Masaju, Amir Mruru, Leila Mgonya, Mustapha Ismail Kambona, Sam Rumanyika hao wote ni wanaCCM kwasababu nilienda nao JKT?

George: Mimi sifahamu

Mhe. Lissu . JKT yenu ilikuwa ni oparesheni Chama yani ni Oparesheni Programu CCM.

George Hapana

Mhe. Lissu : Je hao wote niliowataja sema kama waliwahi kutangaza popote kuacha kuwa maCCM?

George: Sijawahi kusikia.

Mhe. Lissu : Mimi mwenzao nilitangaza kuacha kuwa mwanaccm nikawa Chadema je hao walitangaza lini?

George : Sijui.

Mhe. Lissu : Je unamfahamu Agustino Ramadhani alikuwa Jaji Mkuu?

George: Ndio nafahamu.

Mhe. Lissu : Sasa alivyomaliza Ujaji akaenda kuchukua fomu ya urais CCM je alijiunga lini CCM? Alijiunga zamani sana kabla ya mfumo wa vyama vingi. Je aliacha lini kuwa mwanaccm?

George: Sijui kabisa.

Mhe. Lissu : Jaji Mwambegele unamfahamu yule wa tume ya Uchaguzi?

George : Namfahamu.

Mhe. Lissu : Je aliteuliwa na Rais kuwa Mwenyekiti wa Tume?

George: Ni sahihi kabisa.

Ni mtu mpumbavu tu ndio ataenda kushiriki kinachoitwa uchaguzi ambao chain nzima ya tume hadi wagombea ni CCM.

Pichani ni jaji mkuu mstaafu alipochukua fomu kugombea urais 2015.

Hadi leo hao wote bado ni CCM na wanaenda kusimamia uhuni wa CCM.
images (8).jpeg
 
Mimi sio MTU was comment humu. ila nakuomba ufikishe ujumbe nampenda samia leo nimeota mkimuua polepole hiyi kazi mnayofanya huko mwanza ni kazi bure hataweza tawala Tanzania damu ya polepole italeta uasi kwenye nchi ambao hamtaamini
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mgombea Urais Kupitia CCM anatarajiwa kutua ndani ya Mwanza Mjini kwa ajili ya kufanya mkutano mkubwa wa kampeni.

Ambapo mpaka sasa Mwanza Mjini imesimama na kuzizima. Maelfu na maelfu ya wananchi wapo tayari kumpokea Mama yetu Mpendwa. Kanda ya Ziwa kwa Kauli moja inasema inakwenda kutiki Kwa Mama. Kanda ya Ziwa inakwenda kuweka historia hii leo ya Mapokezi makubwa ,ya heshima na mazito.

Ikumbukwe ya kuwa Rais Samia amepeleka na kutekeleza miradi mikubwa sana ya maendeleo kuanzia barabara,madaraja ,shule, zahanati,vituo vya afya na mengine mengi sana yaliyogusa Maisha ya watu.

Lakini pia Rais Samia anatarajiwa kutoa hotuba kali sana hii leo. Ambapo ataelezea mambo makubwa aliyoyafanya kwa Mkoa wa Mwanza katika kipindi kifupi cha uongozi wake. Usipange kukosa hii leo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Baada ya Kumbananga Hamphrey; sasa umerejea kwenye kazi yako.
 
Back
Top Bottom