Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Acha ujinga wako hapa weweIla wewe jamaa ... unawatia aibu wanyia wenzako.
Samia labda atetemeshe matrako yako sio mwanza.
Mie siwezi pigia kura mtu alipata zero matokeo ya form 4!.Write your reply...mitano tena
ni haki yako kutopiga nami ni haki yangu kupigaMie siwezi pigia kura mtu alipata zero matokeo ya form 4!.
Anatetemesha makali* yako punda wewe.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mgombea Urais Kupitia CCM anatarajiwa kutua ndani ya Mwanza Mjini kwa ajili ya kufanya mkutano mkubwa wa kampeni.
Ambapo mpaka sasa Mwanza Mjini imesimama na kuzizima. Maelfu na maelfu ya wananchi wapo tayari kumpokea Mama yetu Mpendwa. Kanda ya Ziwa kwa Kauli moja inasema inakwenda kutiki Kwa Mama. Kanda ya Ziwa inakwenda kuweka historia hii leo ya Mapokezi makubwa ,ya heshima na mazito.
Ikumbukwe ya kuwa Rais Samia amepeleka na kutekeleza miradi mikubwa sana ya maendeleo kuanzia barabara,madaraja ,shule, zahanati,vituo vya afya na mengine mengi sana yaliyogusa Maisha ya watu.
Lakini pia Rais Samia anatarajiwa kutoa hotuba kali sana hii leo. Ambapo ataelezea mambo makubwa aliyoyafanya kwa Mkoa wa Mwanza katika kipindi kifupi cha uongozi wake. Usipange kukosa hii leo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kama kutompenda Samia ni ujinga, basi mi mjinga hasa.Acha ujinga wako hapa wewe
Ndugu zangu Watanzania,

Pumbavu wewe, si mmeifungia JF, sasa wewe umeingiaje hapa. UlaaniweNdugu zangu Watanzania,