GE2025 Rais Samia Kuitetemesha Mwanza Mjini Leo. Hotuba yake kuisimamisha Nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama kutompenda Samia ni ujinga, basi mi mjinga hasa.
Huna huruma na Taifa letu kabisa linakoelekea umekalia uchawa tu
Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
 
Huyu anatetemesha ku...n.du lako tu. Jinga. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Mhe. Lissu : Je unafahamu 1964 hadi 1994 watu ilikuwa ni lazima wawe wanachama wa CCM?

George: NI SAHIHI KABISA.

Mhe. Lissu : Je unafahamu kipindi hicho chote ukitaka kuingia chuo cha kwanza wanauliza kadi ya CCM?

George: SIJUI HILO.

Mhe. Lissu : Ukitaka kuwa mtumishi wa umma katika kipindi hicho lazima uwe mwanaCCM katika kipindi hicho?

George : Sijui kabisa.

Mhe. Lissu : Hufahamu kwasababu hamjui historia ya nchi hii.

Waeleze majaji Jaji Elizer Feleshi, Ferdinand Wambari, Jaji Masaju, Amir Mruru, Leila Mgonya, Mustapha Ismail Kambona, Sam Rumanyika hao wote ni wanaCCM kwasababu nilienda nao JKT?

George: Mimi sifahamu

Mhe. Lissu . JKT yenu ilikuwa ni oparesheni Chama yani ni Oparesheni Programu CCM.

George Hapana

Mhe. Lissu : Je hao wote niliowataja sema kama waliwahi kutangaza popote kuacha kuwa maCCM?

George: Sijawahi kusikia.

Mhe. Lissu : Mimi mwenzao nilitangaza kuacha kuwa mwanaccm nikawa Chadema je hao walitangaza lini?

George : Sijui.

Mhe. Lissu : Je unamfahamu Agustino Ramadhani alikuwa Jaji Mkuu?

George: Ndio nafahamu.

Mhe. Lissu : Sasa alivyomaliza Ujaji akaenda kuchukua fomu ya urais CCM je alijiunga lini CCM? Alijiunga zamani sana kabla ya mfumo wa vyama vingi. Je aliacha lini kuwa mwanaccm?

George: Sijui kabisa.

Mhe. Lissu : Jaji Mwambegele unamfahamu yule wa tume ya Uchaguzi?

George : Namfahamu.

Mhe. Lissu : Je aliteuliwa na Rais kuwa Mwenyekiti wa Tume?

George: Ni sahihi kabisa.

Ni mtu mpumbavu tu ndio ataenda kushiriki kinachoitwa uchaguzi ambao chain nzima ya tume hadi wagombea ni CCM.

Pichani ni jaji mkuu mstaafu alipochukua fomu kugombea urais 2015.

Hadi leo hao wote bado ni CCM na wanaenda kusimamia uhuni wa CCM.
 
Mimi sio MTU was comment humu. ila nakuomba ufikishe ujumbe nampenda samia leo nimeota mkimuua polepole hiyi kazi mnayofanya huko mwanza ni kazi bure hataweza tawala Tanzania damu ya polepole italeta uasi kwenye nchi ambao hamtaamini
 
Baada ya Kumbananga Hamphrey; sasa umerejea kwenye kazi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…