CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Huyu mshikaji mbona kama amedata hivi, kwani siku zote Rais akiwaapisha wateule wake si anafanya hivyo hivyo, namuonea huruma hebu mpe neno la hekima anazidi kujichoresha. Hao wazee wake walipoteza hela kusomesha mtu kama huyu, hebu cheki mikeka inatoka daily lakini anapishana na teuzi na sababu ni haya magazeti yake yaliyojaa uchawa.CHIEF PRIEST nenda hata kwa jirani ukaangalie Tv
Wewe unasema haya kama nani?🤔Huyu mshikaji mbona kama amedata hivi, kwani siku zote Rais akiwaapisha wateule wake si anafanya hivyo hivyo, namuonea huruma hebu mpe neno la hekima anazidi kujichoresha. Hao wazee wake walipoteza hela kusomesha mtu kama huyu, hebu cheki mikeka inatoka daily lakini anapishana na teuzi na sababu ni haya magazeti yake yaliyojaa uchawa.
Huu ni msukuleHahaha..wewe jamaa bana. Yaani inawezekana mama yako mzazi hujawahi mpamba kwa namna hii, lkn uko busy kujikomba kwa nguvu sana mpaka unapitiliza.
Hivi watu kama nyie mnakuwaga ni kama mawe - hamna ndugu, watoto, wake, wazazi waku washauri vya kuandika, kuwa na kiasi cha maneno hata kama unasifia au unampenda mtu??
Kama Kuhani MkuuWewe unasema haya kama nani?🤔
Muache Lucas soon tunapata teuziKama Kuhani Mkuu
Acha moshi kichwaniKama Kuhani Mkuu
Wewe ndondocha tu hata hujielewi kama me au ke, hasara wamekula wazazi wako hela waliyokusomeshea bora wangefuga nguruwe tu na kuongeza kilimo cha maparachichi.Acha moshi kichwani
Hatuna tunachomdai Mpendwa wetu Mh Rais SamiaAcha mawazo ya kibaguzi katika chama chetu na serikali yetu
Rais Samia ni Chaguo la Mungu na watanzaniaHatuna tunachomdai Mpendwa wetu Mh Rais Samia
2025 Kura za Sukuma Gang zote kwa Dr Samia 🌹
Naona umepaniki vibaya.vipi unaumia ukiwa wapi?Wewe ndondocha tu hata hujielewi kama me au ke, hasara wamekula wazazi wako hela waliyokusomeshea bora wangefuga nguruwe tu na kuongeza kilimo cha maparachichi.
Huyo atabaki kuambulia hela ya vocha tu ili aendelee kusifia wenzake.Muache Lucas soon tunapata teuzi
Mimi nitaumiaje wakati najitegemea ? Mimi niko poa tu masaa yote. Pole yako wewe chawa unayeishi kwa matumaini ya kuteuliwa.Naona umepaniki vibaya.vipi unaumia ukiwa wapi?
Huku Kanda ya Ziwa hatumuelewi kabisa huyo maza wenuHatuna tunachomdai Mpendwa wetu Mh Rais Samia
2025 Kura za Sukuma Gang zote kwa Dr Samia 🌹
Labda ziwa Nyasa 😂Huku Kanda ya Ziwa hatumuelewi kabisa huyo maza wenu
Ngoja tusubiri kububujikwa na machozi ya furahaNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,atakuwa mubashara au live au waweza kusema ataonekana moja kwa moja kutokea ikulu katika uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hapo siku ya jana usiku.
Ambapo katika uapisho huo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kutoa hotuba nzito kwelikweli kama ilivyo kawaida yake baada ya kufanya uapisho,hasa katika kutoa maelekezo,matarajio kwa mhusika,maonyo na makatazo pamoja na kugusia Masuala mbalimbali Mtambuka.
Lakini katika siku ya leo inaonyesha hotuba yake itakuwa ya kipekee sana na ambayo itaitetemesha nchi na kuteka anga la siasa za Tanzania.Maana tangia tu kutangazwa kwa uteuzi huo imeonyesha na kuonekana upepo kubadilika ghafla na kuteka mitandao mbambali ya kijamii.
Sasa kama tu taarifa ya uteuzi imeteka mijadala hapa nchini usiku kwa usiku, unafikiri hali itakuwaje pale Amiri Jeshi Mkuu atakapofungua kinywa chake kuzungumza? Kumbuka ya kuwa pia huyu ndiye Rais na kiongozi ambaye anafuatiliwa sana hotuba zake na mamilioni ya watanzania,kwa kuwa hotuba zake hutoa Dira, muelekeo na ramani juu ya Masuala mbalimbali.ni katika hotuba zake ambapo huzitumia katika kuhutubia Taifa pamoja na kutoa maelekezo kwa wizara,taasisi,mashirika na idara mbalimbali za serikali.
Nawakumbusheni pia kuwa Rais wetu mpendwa ni moja au miongoni mwa Wanawake Mia Moja DUNIA wenye ushawishi.Na ndio maana kwa ushawishi wake na kukubalika kwake kitaifa na kimataifa miezi michache iliyopita huko Nchini Ufaransa ,aliweza kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa kujadili matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia na kuachana na matumizi ya nishati ya kuni na mkaa ambayo imeonekana kuwa na madhara makubwa kiafya hasa kwa wanawake ambao wamekuwa wahanga wakubwa wa athari hizo.
Ndio maana pia kwa ushawishi na kukubalika kwake ilipelekea Makamu wa Rais wa Marekani na anayetarajiwa kuwa Rais wa Marekani Mheshimiwa Mwana Mama shupavu na madhubuti Kamala Harris aliweza kuichagua Tanzania kuwa sehemu ya Nchi chache sana alizotembelea alipofanya ziara barani Afrika miezi kadhaa iliyopita.
unafikiri ni kwanini? Jibu ni kutokana na ushawishi na kukubalika kwa Mama yetu Mpendwa kitaifa na kimataifa.kunakotokana na uchapakazi kazi wake,kuimarisha demokrasia,kukuza uchumi tena uchumi jumuishi wenye kugusa maisha ya kila mtu na usiomuacha mtu nyuma,kumuinua na kumpa nuru mtoto wa kike kwa kuhakikisha anapata Elimu pasipo vikwazo,kuimarisha Utawala bora na utawala wa sheria,kuzingatia na kuheshimu haki za binadamu na misingi yote ya kisheria na Mengine mengi sana.
Ndio sababu pia vyuo mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali Dunia vimekuwa vikimpatia Udaktari wa heshima Rais wetu na Mama yetu mpendwa katika kutambua mchango na matokeo chanya ya uongozi wake katika maeneo mbalimbali. Rai yangu ni kuwaasa watanzania kutumia uhuru huu aliouweka na kuuachia Rais Samia kuleta tija kwa ustawi wa Taifa letu na siyo kuutumia vibaya kwa kuvunja misingi yote ya haki na demokrasia,kutoa lugha za uchochezi zenye kuhatarisha usalama na utulivu wa Taifa letu na kutoa lugha zenye kuchocheo ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila, ukanda,jinsia n.k.
Ikumbukwe ya kuwa haki yako inapoishia ndio haki ya mwingine inapoanzia.lakini pia hakuna haki katika katiba yetu ya kumtukana na kumdhalilisha mtu mwingine pasipo sababu,hakuna uhuru usio na mipaka,hakuna demokrasia isiyo na misingi yake na mipaka yake,lakini pia demokrasia siyo cocacola kwamba ifanane DUNIA nzima. Tujitahidi kuheshimu na kuheshimiana katika kukosoana na siyo kudhalilishana, kutukanana na kutoa lugha zenye kuchocheo vurugu na uhasama.View attachment 3070364View attachment 3070365
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Vua chupi akuweke chapu jinga wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketeeNdugu zangu Watanzania,

Wewe naye ushaishiwa maneno ya kumsifia huyu bibi. Darasa la 7 atapata wapi uwezo wa kutoa hotuba nzito?Rais wetu mpendwa anatarajiwa kutoa hotuba nzito kwelikweli kama ilivyo kawaida yake
akiapisha ndo anatetemesha nchi?katika uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hapo siku ya jana usiku.