Rais Samia kuitetemesha nchi leo, nenda hata kwa jirani Mwenye TV

Wewe naye ushaishiwa maneno ya kumsifia huyu bibi. Darasa la 7 atapata wapi uwezo wa kutoa hotuba nzito?

Tatizo una nyota ya punda, unasifia kila siku lkn huteuliwi. Akina Lukuvi walilala zao kimya huko Ismani wameteuliwa.
Umepiga mshono walahi!!
 
Nimewaona Wananchi wameanza kububujikwa na machozi ya furaha kabla hata ya tukio lenyewe !

Na kuhusu kutukana na kudhalilisha wengine hiyo tabia sana sana imeota mizizi kwenye Taasisi zenu za Chamani kwenu !

Itabidi uwasihi sana waache kudhalilisha watu kwa sababu tu ya tofauti ya mitazamo!

Wahenga walisemaga Usimtendee mtu yeyote kile usichopenda wewe kutendewa !!
Au nasema uongo ndugu zanguni. ???!!!
 
Nenda kwa jirani mwenye TV.
 
Wewe naye ushaishiwa maneno ya kumsifia huyu bibi. Darasa la 7 atapata wapi uwezo wa kutoa hotuba nzito?

Tatizo una nyota ya punda, unasifia kila siku lkn huteuliwi. Akina Lukuvi walilala zao kimya huko Ismani wameteuliwa.
Uwe na adabu
 
Raisi wako anaingia kwenye vitabu vya maajabu duniani, kwa kuwa rais wa kwanza kufsnya teuzi na tengua nyingi saaana, kwa muda mfupi,
Kwa, njaa ilivyokali kitaa, "akitutetemesha" Atatuumiza matumbo yetu"
 
Huyu ni chawa aliyejitoa ufahamu!
 
Raisi wako anaingia kwenye vitabu vya maajabu duniani, kwa kuwa rais wa kwanza kufsnya teuzi na tengua nyingi saaana, kwa muda mfupi,
Kwa, njaa ilivyokali kitaa, "akitutetemesha" Atatuumiza matumbo yetu"
Ukiharibu au usipotosha ni lazima ufanyiwe mabadiliko
 
UWT hawana akili, kutwa linafisia eti lipate uteuzi, shetani kabisa
 
UWT hawajawahi kumiliki akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…