Rais Samia kuitetemesha nchi leo, nenda hata kwa jirani Mwenye TV

Labda atatetemesha mananiihii yako......
 
Niko
Niko kwa jirani namsubiria Mh Raisi live kwenye kideo
 

Ha ha ha ha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Kijana unapambana Sana
 
Anajitetemesha mwenyewe na watu wa sampuli yako...watu wenye akili timamu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida
 
CCM ni chama kilichojaa ustaarabu na wastaarabu
Unasema hivyo wewe lakini sisi wengine ni wahanga tunaijua ilivyo kwa sasa. !

Ni kweli kabisa hapo zamani ilikuwa ina ustaarabu na wastaarabu wengi sana lakini sasa imevamiwa !
Hata Polepole analijua hilo !!

Waonyeni hao jamaa! CCM niijuayo mimi sio ya kudhalilisha mpaka Wazee !!
 
CCM inaheshimu kila mtu na kumjali.
 
Nimekuja kwa jirani kuchungulia Tv, hotuba ya Mh. Rais imekuwa ndefu na nzuri sana, hakika kaitetemesha nchi! Daah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…