Rais Samia kuitetemesha nchi leo, nenda hata kwa jirani Mwenye TV



πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Kweli hotuba ya Leo imetetemesha Dunia na inchi mzima

Lucas mwashambwa ww ni noma Sana unajua mpaka mambo ya chini ya kapeti

Leo tumetetemeka wote tuliongalia kwenye tv
 
Pamoja na kukufuru kote huku bado pdf zinatoka bila jina lako?

Anatetemesha Nchi?... Binadam gan ana uwezo wa kutetemesha Nchi kama sio Mungu?

Acheni huu upuuzi wa kumkufuru Mungu
 
Watu hawajalia njiani huko?.
 
Nimetetemeka hadi kububujikwa na machozi kwa mara ya kwanza 🀣
 
Naona ITV waliweka taarabu kipindi hicho cha kuapisha...safi sana.
Shenztaip
 
Kwa vile ana safari kwenda huko nje ya nchi, hakutoa hotuba kama ulivyokuwa umetabiri. Rudi tena kilingeni ukaanze upya kazi yako.
 
😁😁😁 Ila we jamaa duh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…