Rais Samia kuitetemesha nchi leo, nenda hata kwa jirani Mwenye TV

Yaani sikutamani kusoma hadi mwisho maana ni fulu kujipendekeza, huyo mama yako hana strong voice, hiyo hotuba nzito ya kutetemesha ataitoa wapi?
 
Hivi huyu mtu wenu mwakani ataweza kupiga kampeni hata mikoa mitano kweli kwa jinsi alivyochoka?
 
Hotuba baada ya uapisho ilikuwa fupi sana
Abrahamu Lincolin Rais wa Marekani amewahi kutoa dakika ya dk 2 lakini inaendelea kukumbukwa mpaka kesho. Suala siyo urefu wa hotuba bali ni nini hotuba hiyo imebeba na kuzungumzia.
 
Tumuache Mama amalize muda wake salama. Alishasema anaenda kupumzika akabidhi kijiti kwa mwingine kwa umri nao umeenda na changamoto ni nyingi kwa wengine kuzitatua mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…