William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Haya Mambo pia alifanyiwa Raisi wa Russia Dmitry Medvedev. Aliwekwa madarakani Kama kivuli na waziri mkuu wake puten na baada ya muhula moja akatolewa. kwa haraka haraka utazani Mwendazake Kama aliwaita watu wake akawausia wasikubali lolote analofanya mama.
Pale anapokosolewa au kushambulia timu Magu hawako tayari kumtetea. Naona kabisa kung'aang'ana nao haijasaidia lolote. Polepole Yuko bize kujiongezea umaarufu ata kwa kuunanga utawala wa mama.
Timu Magu ata afanye nini hawatomkubali. Kwasababu kihulka hawafanani. Badala ya kufanya kila kitu ili awafanye walizike Bora awatoe wote kwenye utawala wake.
Abakie na wana CCM wenye roho kukubali maridhiano na wapinzani.
Hatari anachopitia ni kua anaongeza maadui tu kuliko ata Magufuli mnenyewe. Sasa wapinzani watamchukia Sana na CCM watamchukia pia.
Pole pole na bashiru ni Wabunge wateule wa Raisi. Ampe ubaloz polepole ili akondoke bungeni kisha aamtoe kabisa.
Wapinzani Wana watu wengi sana. Ushaidi uchaguzi uliopita na wewe mwenyewe uliona. Kuurudisha umaarufu wako ni kuwa nao karibu tu. Najua sehemu uliyopo huwezi kuwaona Sababu umezungukwa na hao walioachwa na mtangulizi wako na wanajitahidi kukuziba macho. Waruhusu wafanye mikutano ili angalau waelezee tofauti yake na wewe. Uweke historia mpya yako katika taifa.
Sasa unapingwa Sana mtaani. Timu Magu wanakupinga sana ingawa umewakumbatia. Na mbaya huwezi jua kwani Hadi wanaokupa taarifa ni wao. Na wapinzani ndio hawakuelewi kabisa. Sasa uko na CCM waliotengwa na utawala uliopita na kifupi ni wachache na hawatakupeleka popote.