Nina uhakika asilimia 100 kuwa Mhe. Samia Hassan Suluhu akiamua kukomaa na kuleta Katiba Mpya basi 2025 ni lazima atashinda - tena atashinda kwa kishindo sana.
Atakuwa akiongea tu kuwa yeye ni Rais wa maamuzi - ameamua kutekeleza jambo ambalo limekuwa gumu kutekelezwa kwa miaka mingi - yeye ameweza. Atawafanya wapinzani wasiwe na hoja na hata wao watampigia kura.
CCM watachangamka na kuongoza vizuri Zaidi - hakutakuwa na ubabe ubabe na demokrasi itatamalaki - tutakuwa kama wenzetu wa Kenya mabao kwa sasa siasa sio chuki tena.
Rais Samia utajisikiaje ukiwa kama mpenda demokrasia ukaingia madarakani kama alivyoingia Mwendazake katika muhula wake wa pili - Unaweza kuuita ule ni uchaguzi - Au nawe umejificha tu ndani ya ngozi ya kondoo lakini kumbe u mbwa mwitu?
Inawezakana lakini manake hata wakati wa kampeni kuna maneno ya ukakasi uliwahi kuyasema!
Tuliamini uliyasema hayo kipindi tu cha kumuunga mkono Mwendazake lakini wewe haupo hivyo! Hata hivyo kadri siku ziendavyo unaanza kuwa na mwelekeo wa kidikteta dikteta hivi!
Ninakukumbusha hivi hakuna Rais tangu Tanzania ianze hajawahi kuwa na agenda ya kupaisha uchumi wetu - Ni Rais gani huyo?
Kukuza uchumi ni agenda endelevu lakini kuleta Katiba nzuri ni jambo la mara moja tu na linakuletea mailage kubwa katika key performance indicators - "KPI" zako kama Rais.
Hilo la kukuza uchumi linaweza likawa sio. JPM alioenekana kama anakuza uchumi lakini kila analysis ikifanyika inaonekana uchumi ulidondoka katika kipindi chake.
Sababu kubwa inaonekana ni kuzuka kwa Covid 19. Sasa ukikomalia issues za kukuza uchumi ukaacha watu waendelee kuminywa utashangaa linazuka balaa lingine linasomesha namba za kukuza uchumi zinashuka Zaidi.
Katiba Mpya haiwezi kuzuiwa na majanga - ni jambo jepesi Zaidi kwako kulitekeleza na likakushindisha Mwaka 2025.
Sijui lakini wanaokushauri wameona hatari gani- Nchi hii ni yetu wote - acha kukumbatia miCCM ambayo imebaki na mila na desturi zile zile za uwoga uwoga na kujali maslahi binafsi.
Mwisho cheza vizuri siasa zako - waTanzania wamechoka sasa ahadi za kukua kwa uchumi - ni agenda endelevu na sio mziki mpya tena masikioni mwetu.
Hebu BADILIKA Rais Wangu Mpendwa! Usije ondoka unachukiwa kama Mwendazake!