Rais Samia, kukuza uchumi ni agenda endelevu, usipotoshwe ukadondoka puuuh!

Ameanza kiburi mapema sn baada ya watu kumsifia
 
Ndiyo anachovizia, basi alete tume huru ya uchaguzi
 
Mpeni muda mambo yatakaa sawa...

..Nakumbuka baada ya vita vya Kagera / Uganda Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliomba Watz " wafunge mikanda " kwa miezi 18 ili arekebishe uchumi.

..tangazo hilo lilifuatiwa na hatua mbalimbali za kubana matumizi haswa ya fedha za kigeni.

..moja ya eneo ambalo serikali ililenga ni uagizaji wa mafuta. Serikali ilikuwa haina fedha za kutosha kuagiza mafuta.

..kutokana na hali hiyo kukawa na marufuku ya kuendesha gari binafsi Jumapili baada ya saa 8 mchana. Yaani polisi akikukuta unaendesha gari binafsi Jumapili baada ya saa 8 utaipeleka gari hiyo kituoni.

..SAMAHANI kama nimechepuka nje ya mada.

Cc Kiranga, Nguruvi3
 
Kweli asee tumepiga kwenye shida balaa
 
Du kumbe watu wamepitia hali ngumu hivi?
 
..Jumapili baada ya saa 8 mchana magari yaliyokuwa yanaruhusiwa kuwa barabarani ni magari ya serikali, mabasi ya abiria, malori ya mizigo, na teksi.
Balaa na nusu, kumbe teacher naye alikuwa dikteta haswa
 
Balaa na nusu, kumbe teacher naye alikuwa dikteta haswa

..falsafa za teacher zilituathiri kiuchumi.

..alikwenda mikoa ya kusini akaanzisha vijiji vya ujamaa / operation vijiji na kupelekea zao la korosho kuanguka.

..na wakati huo waziri mkuu alikuwa rashidi mfaume kawawa anatokea kusini mbunge wa liwale.

..fast forward ktk utawala wa Jiwe. Waziri mkuu anatokea kusini, wakulima wa korosho wakavamiwa na serikali.
 
Kipindi cha pili anaweza kukiona lakini kwa kuiba kura, na hata akifanikiwa akaingia tena, iwapo atapuuza madai haya ya wananchi ataishia kuwa raisi wa vitu vidogovidogo visivyoacha legacy yoyte ya maana
Ataishia kuwa Rais wa madaraja na mitaro ya maji.
 
Jiwe alikuwa na mawazo ya kimaskini sana
 
Hizi akili za kusimamisha mambo muhimu na kujidai unajenga uchumi huwa ni kisingizio tu
 
muacheni mama wa watu kwanza alipokabidhiwa nchi alitetemeka hakutegemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…