Rais Samia, kukuza uchumi ni agenda endelevu, usipotoshwe ukadondoka puuuh!

Mkuu mawazo yako sio mabaya ila utambue kuwa uchumi wa Tanzania kwa sehemu kubwa ni shagaragara tu ngoja liende hata hao wawekezaji uchara wapo tokea awamu ya tatu lakini matokeo ni sifuri. Hata wanaosema Magufuli aliua sekta binafsi si kweli Magufuli aliua sekta binafsi uchara. Kuwa na wawekezajoi wengi wasio kuwa na tija haina maana yeyote mkuu. Hata hao TIC wanasema wamesajiri wawekezaji wengi kwa kuvunja rekodi ndani ya siku mia za mama Samia ni kweli, ila wawekezaji wa maana ni wangapi?
 
..Jumapili baada ya saa 8 mchana magari yaliyokuwa yanaruhusiwa kuwa barabarani ni magari ya serikali, mabasi ya abiria, malori ya mizigo, na teksi.
Na bado miezi 18 haikufua dafu hali ya uchumi iliendelea kudorola hadi alipoingia raisi Mwinyi.
 
Umenena kweli - so na wewe unaamini Mama SSH ataweza kukuza uchumi kama anavyojinadi? Je huoni kama akitaka kutoka kisiasa inabidi aanze tu na kitu rahisi kama vile kuleta Katiba nzuri?
 
Uhuru mbona alikubali?
 
Sugar coating, atakuwa Raisi wa nchi ipi??
Na serekali ipi Kati ya zile tatu? Think twice bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…