Rais Samia kulihutubia taifa leo saa 3 usiku kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha 2026

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuuhutubia taifa kuhusiana na kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya 2026. Hotuba hiyo itarushwa mubashara kupitia vyombo mbalimbali vya habari leo, Desemba 31, 2025, majira ya saa 9:00 usiku.
1767182239113.png
 
Rubbish takataka
 
Atasikilizwa na vyombo vya ulinzi na usalama ambao wamemsaidia kuua watanzania ili arudi kutawala.

SAMIA NI MUUAJI
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuuhutubia taifa kuhusiana na kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya 2026. Hotuba hiyo itarushwa mubashara kupitia vyombo mbalimbali vya habari leo, Desemba 31, 2025, majira ya saa 9:00 usiku.
Hili limanyonyo sijui lina roho gani. Sisi watanganyika hatumtaki. Hizo hotuba hazitusaidii kitu mpumbavu huyo. Form four failure.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuuhutubia taifa kuhusiana na kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya 2026. Hotuba hiyo itarushwa mubashara kupitia vyombo mbalimbali vya habari leo, Desemba 31, 2025, majira ya saa 9:00 usiku.
Angetuacha tuuuu......hana jipya...mikono damu milele amina
 
Historia ndani ya televisheni na mitandao duniani kote.

Baadhi ya hatua za madikteta uchwara huwekwa ktk kumbukumbu za kihistoria na kuwaandama bila kukoma

TOKA MAKTABA :

Kituko cha dikteta Dr. Kamuzu Banda

LIVE : Kisa cha mwezi September 1972 Dr. Hastings Kamuzu Banda apata hofu kuu kuona kuna raia asiye rais kupata umaarufu

View: https://m.youtube.com/watch?v=vvgC3RS3waE
Dr. Hastings Kamuzu Banda amtimua mwanamuziki nguli Percy Sledge baada ya kufanya tumbuizo la kufa mtu uwanja wa Kamuzu Stadium.

Baada ya rais Kamuzu Banda kuona jinsi umati wote uliojitokeza katika Uwanja wa Kamuzu Banda kuonesha hisia zao zote kwa mwanamuziki huyo na kumsahau rais huyo aliyekuwepo jukwaa kuu la VIP, mara baada ya tamasha hilo rais Dr. Kamuzu Banda akaamua kumpa deportation kwa hofu ya kuona kuna mtu anaweza kusababisha watu kwa muda kumsahau Ngwanzi Dr. Hastings Kamuzu Banda, hivyo vyombo vyake vya dola (State Apparatus) kumwambia ngwazi rais kuwa hii siyo dalili nzuri kwa utawala wake...

Tangu siku hiyo mwanamuziki huyo nyota akapigwa marufuku kutorejea Malawi tena, kosa ni mwanamuziki huyo kujaza kiwanja cha Kamuzu Band stadium kuliko mikutano yake ngwazi Dr. Hastings Kamuzu Banda.

Serikali ikadai mwanamuziki huyo amekosa maadili ya kitaifa ya Malawi ndiyo maana ametimuliwa ...

SOMA VISA VYA WANASIASA:
Source :Dar es Salaam ilikuwa Mecca ya vyama vya ukombozi, pia jiji la mapigano baina ya vyama hasimu vya ukombozi Afrika ya Kusini
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuuhutubia taifa kuhusiana na kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya 2026. Hotuba hiyo itarushwa mubashara kupitia vyombo mbalimbali vya habari leo, Desemba 31, 2025, majira ya saa 9:00 usiku.
HANA JIPYA nywinywi tu kibao!
 
Back
Top Bottom