mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Itakuwa anaomba kura kwenye zile tuzo ashinde
Haha utakufa nacho kijiba cha rohoRubbish takataka
Hili li tyrant,na li murder, na libutcher anatutafuta nini??Kazi iendeleee
Huyu ni Rais wetu 2025-2030Angeacha tu asikumbushe watz. Machungu haiba yake imekuwa spoiled ni alama ya damu vifo udini na mauwaji anngeacha watu wamsahau ila akiongea tu atatoa boko na kutonesha tena hisia zilizoanza kusahau.
Vipi mkuu unaandikaje au na wewe ni marehemu unasubri kuzikwaAatupe ndugu zetu tukazike
Tulia utawewuka mkuuAliikimbia 27/12 sijui na matishio mengine atakimbia hivyo hivyo. Ubaya wakubwa wa the so called vyombo vya ulinzi na usalama wanakaza fuvu kupokea ushauri.
Huna uwezo wakumpangia amir jeshi mkuu wa Tanzania.Angetuacha tuuuu......hana jipya...mikono damu milele amina
Pole sana huyu ndo Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Rubbish takataka
Toka 2011 upo jamii forum ushatukama marais wangapi Mkuu. Wewe ni lizee pori lisilo na akiliRubbish takataka
Wewe na hilo limanyonyo mna akili sawa.Huna uwezo wakumpangia amir jeshi mkuu wa Tanzania.
We panyaroad akili umeweka wapi
Mbona nyny wakongwe kwenye jukwaa letu tukufu la jamiiforum mpo kama mmewewuka akili mnaziweka wapi kwani Toka 2011 mpaka sasa mmesha wadhiaki Marais wangapi na mmepata faida Gani nyie makubwa jinga
Asante kwa taarifaHili li tyrant,na li murder, na libutcher anatutafuta nini??
Historia ndani ya televisheni na mitandao duniani kote.
Baadhi ya hatua za madikteta uchwara huwekwa ktk kumbukumbu za kihistoria na kuwaandama bila kukoma
TOKA MAKTABA :
Kituko cha dikteta Dr. Kamuzu Banda
LIVE : Kisa cha mwezi September 1972 Dr. Hastings Kamuzu Banda apata hofu kuu kuona kuna raia asiye rais kupata umaarufu
View: https://m.youtube.com/watch?v=vvgC3RS3waE
Dr. Hastings Kamuzu Banda amtimua mwanamuziki nguli Percy Sledge baada ya kufanya tumbuizo la kufa mtu uwanja wa Kamuzu Stadium.
Baada ya rais Kamuzu Banda kuona jinsi umati wote uliojitokeza katika Uwanja wa Kamuzu Banda kuonesha hisia zao zote kwa mwanamuziki huyo na kumsahau rais huyo aliyekuwepo jukwaa kuu la VIP, mara baada ya tamasha hilo rais Dr. Kamuzu Banda akaamua kumpa deportation kwa hofu ya kuona kuna mtu anaweza kusababisha watu kwa muda kumsahau Ngwanzi Dr. Hastings Kamuzu Banda, hivyo vyombo vyake vya dola (State Apparatus) kumwambia ngwazi rais kuwa hii siyo dalili nzuri kwa utawala wake...
Tangu siku hiyo mwanamuziki huyo nyota akapigwa marufuku kutorejea Malawi tena, kosa ni mwanamuziki huyo kujaza kiwanja cha Kamuzu Band stadium kuliko mikutano yake ngwazi Dr. Hastings Kamuzu Banda.
Serikali ikadai mwanamuziki huyo amekosa maadili ya kitaifa ya Malawi ndiyo maana ametimuliwa ...
SOMA VISA VYA WANASIASA:
Source :Dar es Salaam ilikuwa Mecca ya vyama vya ukombozi, pia jiji la mapigano baina ya vyama hasimu vya ukombozi Afrika ya Kusini
Mpigie simu IGP na muliro, kujitoa muhanga sio mchezo.. mavi wewe. Subiri utawala wa robo term.Tulia utawewuka mkuu
KAZI na Utu Tunasonga Mbele 2025-2030