Rais Samia kulihutubia taifa leo saa 3 usiku kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha 2026

Nampongeza kwa kazi kubwa aliyofanya October 29 ya kupambana na nyumbu wahalifu walioiba na kuharibu mali za watu na za umma, mapambano yale yalifanyika kwa weledi mkubwa
 
KAZI INAENDELEA
KAZI na Utu Tunasonga Mbele 🇹🇿
Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 ❤️ 👏
 
Angeacha tu asikumbushe watz. Machungu haiba yake imekuwa spoiled ni alama ya damu vifo udini na mauwaji anngeacha watu wamsahau ila akiongea tu atatoa boko na kutonesha tena hisia zilizoanza kusahau.
Huyu ni Rais wetu 2025-2030
 
Aliikimbia 27/12 sijui na matishio mengine atakimbia hivyo hivyo. Ubaya wakubwa wa the so called vyombo vya ulinzi na usalama wanakaza fuvu kupokea ushauri.
Tulia utawewuka mkuu
KAZI na Utu Tunasonga Mbele 2025-2030
 
Toka 2010 upo jamii forum lakini Bado una utotoutoto mwng sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…