Rais Samia kulihutubia taifa leo saa 3 usiku kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha 2026

Sio Raisi atahutubia sema leo saa tatu usiku kutakuwa na kupindi cha Taarabu au midundo ya mwambao kuchambana na kurushana roho.
Maana siku hizi nchi inaendeshwa kwa kurushana roho, kukejeliana na "kuchambana".

Who are you?
Toka 2012 upo jamii forum wakati Mimi nipo shule ya msingi lakini akili ndo huna. Pole sana.
Kwahyo umetukana Marais wangapi mpaka sasa
 

Ulikuwa ukisikia Magufuri anahutubia Taifa Tanzania nzima inakaa mkao wa kusubiria hotuba yake,lakini huyu Mama hana mvuto kama vile hakuna kinachoendelea
 
rubbish, takataka kabsa, kwa ubongo upi??
 
Tupo stand by kumsikiliza na kupokea baraka zote za mwaka mpya
 

31 December 2025

KWENYE UTAWALA WA SHERIA, TUPO PABAYA SANA KAMA TAIFA

View: https://m.youtube.com/watch?v=58853n8f-N4
 
Akihutubia wanaCCM TU INATOSHA!

Tuko bize na mambo ya msingi!

Raisi alichaguliwa na nani
 
We kvma ,toa profile ya Nyerere hapo juu ,mbwakoko wee
 
Atamtuma Mwigulu au Nchimbi
Hatutaki hata kuisikia sauti achilia tu kuona hilo lisura lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…