Rais Samia kulihutubia taifa leo saa 3 usiku kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha 2026

Kuhutubia au Kuchamba!
Maana siku hizi ni ngumu kutofautisha hivyo vitu.
 
Natabiri vichambo na taarabu ndiyo vitatawala. Na penyewe alikuwa amejificha/amefichwa studio kwa muda mrefu!!!
 
Wewe ni likongwe jukwaani lakini kichwani ni matope
Sasa we na ukongwe wako, CCM yako na viongozi wako unafaida gani hapa nchini? Deni la taifa linazidi kukua, miji mingi miundombinu yake mibovu, maji hakuna, watoto wanakaa chini, vyoo shule hakuna, watoto wamesoma ajira hakuna. Kutwa kueneza propaganda radioni na kwenye television mmetia saini sijui mkataba wa nini, mara ugunduzi wa nini lakini vyote hivyo havina msaada kwa wananchi.

Endelea kuokota kimshahara chako hicho ambacho kinakufanya ushikiwe akili na wehu wenzako.
 
Mkuu tutumie ukubwa wetu kueneza maadili kwa vijana
 
Akikaa kimya tunapona akifungua domo lake kubwa atatuharibia mwaka huyu muuwaji hatukutaki wewe mama bwana vipii
Mdomo wa manyonyo utatoa uharo tu kwa watanganyika. Arudi kwao tu huko Oman. Mchawi huyo na muuaji
 
Siwezi kupoteza muda wangu kumsikiliza mchawi wa kike
 

Anahitubia baada ya kusikia Gwajima anahutubia...!!?
 
Labda Tido atakuwa amemshauri namna ya kuongea, kwasababu shida huwa inaanzia kwa matamshi yake
 
Aende kwenye yale makaburi ya halaiki ahutubie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…