mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Naomba kuwasilisha!
Mama ulianza kwa kupika mvinyo mwanana wa uongozi mpaka wasiofungamana na wew kiitikad (ikiwemo Mimi mshale21) wakaukubali kwa utam kisha wakaonesha hisia zao kua huenda mwelekeo ukawa sawa!
Sasa umepata sifa umeanza kupiga dilution kwenye mvinyo Sasa hauna Radha na hakuna tofauti na sumu!
Mods please naomba post zngu zote zilizoonesha kuwa Nina matumaini na awamu ya sita ya uongozi mzifute!
Nimeamin CCM ni ileile Kama waimbavyo wao!