Rais Samia, kuna Fursa nyingine huko 'Kazungula Bridge'

Kuna kazi kubwa sana Mama Samia anatakiwa kuifanya. Nayo ni kufanya uwekezaji wa kimaendeleo kulingana na faida za kiuchumi na sio Kwa sababu ya nani anatoka wapi. Kati ya Mambo ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi Kwa kiwango kikubwa hapa Tanzania ni hili.
 
Hakuna shida pia ile reli ikibadilishwa na kuwa kwa viwango vya SGR na kuwekewa umeme Pia.
 
Kuna shida sana ya vipaumbele vyenye tija kwenye maendeleo kwa hapa Tanzania.

Tuzidi kumuhamasisha mama Samia kufanya mabadiliko chanya kwa mustakabali wa maendeleo ya kweli ya Tanzania yetu
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Ulivyoanza kulizungumzia hili kwa kulinganisha ndio umenifumbua macho, mitazamo yenye fikra pana namna hii ndio inayobadilisha mambo makubwa kuwa mazuri na kwa muda mfupi, inshallah natamani uzi huu uonwe na wenye vyeo vyao.
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…