Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
"Shule hii ni mchepuo wa Watoto ambao watafundishwa kwa Kingereza. Kwa hiyo tunatarajia watakapotoka hapa huko njiani ni ‘how are you’, ‘how are you doing’na hivyo na mambo kama hayo,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.