Rais Samia: Kuna haja ya kuwa na Mchepuo wa Masomo ya Lugha ya Kichina

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
“Nimeambiwa Shule hii ni ya mchepuo wa Kingereza. Sasa nina pendekezo. Unajua unapobadilisha mitaala ya elimu, Waziri wa Elimu yuko hapa. Tumebadilisha mitaala ya elimu na sera yetu ya elimu kuendana na mabadiliko ya Dunia yanavyokwenda.

"Shule hii ni mchepuo wa Watoto ambao watafundishwa kwa Kingereza. Kwa hiyo tunatarajia watakapotoka hapa huko njiani ni ‘how are you’, ‘how are you doing’na hivyo na mambo kama hayo,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
 
Morogoro sec,UDOM ipo fully kichina.
 
Back
Top Bottom