Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mama najuwa unaingia JF, wewe ni muungwana sana kwenye ziara yako South Africa umewaita viongozi wa TACOP kupitia balozi Milanzi kwa niaba ya Watanzania wote wanaoishi Afrika Kusini.
Lakini cha kusikitisha viongozi hawa waliowakilisha badala ya kuja kuwakilisha wamegeuka machawa hata suti zao wakavuliwa na kuvalisha T-shirts zako, sina tatizo na hilo.
Tatizo langu ni viongozi wa TACOP isipokuwa Mohammed Msangi peke yake ambaye kwa Sasa yupo Tanzania wamewasaliti Watanzania.
Kuna shida nyingi sana ambazo kimsingi walipaswa wakuambie badala ya kula tu ubwabwa na kupiga Picha kuturushia kwenye group la WhatsApp hawa ni wapuuzi wakubwa.
Mama hapa ninavyoandika kuna maiti 10 za Watanzania waliokufa kwa sababu tofauti tofati zipo Monchwari zina subiri kusafirishwa kuleta Tanzania kwenye familia zao kwa mazishi na kila maiti ni Rand 25,000/= kuitowa Swiss port ni Tsh 250,000/= na watu wa afya wameongoza kipengele cha sh 50,000/= kukaguwa maiti sijui wanataka kuzifufuwa au vipi?
Sasa katika mazingira haya inashangaza viongozi wa TACOP unawaita wanaishia kuja kula pilau na kupiga Picha wakati maiti 10 ziko monchwari zina subiri michango hivi hawa wana akili kichwani?
Part one wacha niishie hapo kwanza, uongozi wa TACOP ung'olewe.