Pre GE2025 Rais Samia: Kuna watu wanapita huku na huko na kusema Serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake

Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema

Source: EATV

Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
 
Kwani sisi tumesema inazuka tu? Tunajua kabisa wanapanga ndiyo maana tunalalamika inakuwaje wanapanga kununua magari ya kifahari wakati nchi ni maskini? Hata ile saa yake ya milioni 100 tunajua alipanga kuinunua na hakuzuka tu.
 
Halafu wewe jamaa mada zako zinakuwa kama umezinduka kutoka nusu kaputi vile .
 
Kwani sisi tumesema inazuka tu? Tunajua kabisa wanapanga ndiyo maana tunalalamika inakuwaje wanapanga kununua magari ya kifahari wakati nchi ni maskini? Hata ile saa yake ya milioni 100 tunajua alipanga kuinunua na hakuzuka tu.
UWewe siyejijuwa, nani alikudanganya "nchi hii" ni masikini?

Kama Masikini ni wewe ambae unakula data unaingia mitandao ya kijamii kuandika pumba, sijuwi hao matajiri wakoje.
 
Mimi mwenyewe barabarani mara nyingi ninakuwa na chombo cha usafiri binafsi, maana yake nikikutana na ndugu zangu lazima vyombo vya moto viwe vingi.

Sasa rais anakutana na watumishi wenzake ambao nao wana magari, na hatimaye yanakuwa mengi.

Sasa mlitaka watembee kwa miguu?
 
Back
Top Bottom