johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani sisi tumesema inazuka tu? Tunajua kabisa wanapanga ndiyo maana tunalalamika inakuwaje wanapanga kununua magari ya kifahari wakati nchi ni maskini? Hata ile saa yake ya milioni 100 tunajua alipanga kuinunua na hakuzuka tu.Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Aviator kafura.kununua Magari bali ni mipango
Halafu wewe jamaa mada zako zinakuwa kama umezinduka kutoka nusu kaputi vile .Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
UWewe siyejijuwa, nani alikudanganya "nchi hii" ni masikini?Kwani sisi tumesema inazuka tu? Tunajua kabisa wanapanga ndiyo maana tunalalamika inakuwaje wanapanga kununua magari ya kifahari wakati nchi ni maskini? Hata ile saa yake ya milioni 100 tunajua alipanga kuinunua na hakuzuka tu.
Halafu Watanganyika wenyewe kina johnthebaptist na Lucas Mwashambwa ndiyo wanapiga vigelele na kukata mauno kushangilia kodi zao zikifujwa..kodi za Watanganyika hizo zinafujwa.
Miaka ya hasara tenaRais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Tundu Lisu njia panda CCM au ACT WazalendoHalafu Watanganyika wenyewe kina johnthebaptist na Lucas Mwashambwa ndiyo wanapiga vigelele na kukata mauno kushangilia kodi zao zikifujwa