Pre GE2025 Rais Samia: Kuna watu wanapita huku na huko na kusema Serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Basi kumbe na mambo ya utekaji na uuaji anayajua , sema tu ni mpango w....
 
Dah tusimlaumu mama ni Katiba ilio muweka pale.Lakini bado hatoshei kiuwezo.

Tulizoea hotuba iliyo jaa takwimu mbalimbali lakini hotuba kama nyeupe haina hata mvuto.
 
UWewe siyejijuwa, nani alikudanganya "nchi hii" ni masikini?

Kama Masikini ni wewe ambae unakula data unaingia mitandao ya kijamii kuandika pumba, sijuwi hao matajiri wakoje.
Hauna furaha.
 
Mipango gani wakati watu wanajua namna dealers wanaloby kuuzia serikali magari ya kifahari tena kwa bei ya kuruka. Kuna wakati awamu ya 5 kulitolewa pendekezo serikali ikiwa na order kubwa ya magari waagize moja kwa moja kutoka viwandani.
 
Kuna wakati kila mmoja wetu husema jambo ambalo hakuwa na maana ya jinsi litakavyo pokelewa na upande wa pili !!
πŸ‘πŸ™πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…