Rais Samia kuondoka Nchini kesho kuelekea Uganda kushiriki katika Sherehe za Uapisho wa Yoweli Museveni

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa siku ya Kesho kuondoka Nchini kuelekea Nchini Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Uapisho wa Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni Ambaye ameongoza Taifa Hili Kwa takribani Miongo 4 Mfululizo tangia Mwaka 1986 .

Rais wetu Mpendwa anaendeleza ushirikiano wetu ambao tumekuwa nao na ambao umekuwa wa kihistoria. Ambao umejengwa katika misingi ya undugu wa kihistoria. Uganda ni ndugu wa kweli ,rafiki wa kweli na majirani wema katika shida na Raha.

Hatujawa kuwa wala kuingia katika mgogoro wa aina yoyote ile uwe wa kibiashara ama kiuchumi ama kidiplomasia kati yetu na wao tangia kuingia madarakani kwa Mheshimiwa Yoweli Museveni.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Screenshot_20260511-214521_1.jpg
 
Chama cha NRM ni sawa tu na Sisiem kuanzia ideology mpaka rangi zake.

So hakuna jipya hapo, wakoloni weusi wanasapotiana daima
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa siku ya Kesho kuondoka Nchini kuelekea Nchini Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Uapisho wa Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni Ambaye ameongoza Taifa Hili Kwa takribani Miongo 4 Mfululizo tangia Mwaka 1986 .

Rais wetu Mpendwa anaendeleza ushirikiano wetu ambao tumekuwa nao na ambao umekuwa wa kihistoria. Ambao umejengwa katika misingi ya undugu wa kihistoria. Uganda ni ndugu wa kweli ,rafiki wa kweli na majirani wema katika shida na Raha.

Hatujawa kuwa wala kuingia katika mgogoro wa aina yoyote ile uwe wa kibiashara ama kiuchumi ama kidiplomasia kati yetu na wao tangia kuingia madarakani kwa Mheshimiwa Yoweli Museveni.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Huyo yalama azizoee tu hizi trips fupifupi. Akienda mbali sana ni China au Uarabuni kwa wajomba. Faki zati bi+ch!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa siku ya Kesho kuondoka Nchini kuelekea Nchini Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Uapisho wa Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni Ambaye ameongoza Taifa Hili Kwa takribani Miongo 4 Mfululizo tangia Mwaka 1986 .

Rais wetu Mpendwa anaendeleza ushirikiano wetu ambao tumekuwa nao na ambao umekuwa wa kihistoria. Ambao umejengwa katika misingi ya undugu wa kihistoria. Uganda ni ndugu wa kweli ,rafiki wa kweli na majirani wema katika shida na Raha.

Hatujawa kuwa wala kuingia katika mgogoro wa aina yoyote ile uwe wa kibiashara ama kiuchumi ama kidiplomasia kati yetu na wao tangia kuingia madarakani kwa Mheshimiwa Yoweli Museveni.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Kila la kheri Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kipenzi cha waTanzania wote
 
Kwenye mkutano wa jana wa Sugu alisema sehemu Sa100 anaweza kwenda kwa sasa ni kwa M7 tu. Kwingine kote ni moto
 
Hao ndio marafiki wa tz ya Samia kwa sasa
 
Samuya sio rais ni muuaji na muuaji huyo kwa sasa anatembelea banana republics tu kwa madikteta uchwara na wauaji wenzie.

Huyo fossil wa Uganda ndio alimpa mamluki waliokuja kuua watangayika kwenye ardhi yao walipokuwa anadai uchaguzi huru.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa siku ya Kesho kuondoka Nchini kuelekea Nchini Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Uapisho wa Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni Ambaye ameongoza Taifa Hili Kwa takribani Miongo 4 Mfululizo tangia Mwaka 1986 .

Rais wetu Mpendwa anaendeleza ushirikiano wetu ambao tumekuwa nao na ambao umekuwa wa kihistoria. Ambao umejengwa katika misingi ya undugu wa kihistoria. Uganda ni ndugu wa kweli ,rafiki wa kweli na majirani wema katika shida na Raha.

Hatujawa kuwa wala kuingia katika mgogoro wa aina yoyote ile uwe wa kibiashara ama kiuchumi ama kidiplomasia kati yetu na wao tangia kuingia madarakani kwa Mheshimiwa Yoweli Museveni.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Nilipona U nilifikiri Ubelgiji??? mbona anatuangusha ile ndege Kombo tu ndio anakura misle aende japo Ufaransa basi .
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa siku ya Kesho kuondoka Nchini kuelekea Nchini Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Uapisho wa Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni Ambaye ameongoza Taifa Hili Kwa takribani Miongo 4 Mfululizo tangia Mwaka 1986 .

Rais wetu Mpendwa anaendeleza ushirikiano wetu ambao tumekuwa nao na ambao umekuwa wa kihistoria. Ambao umejengwa katika misingi ya undugu wa kihistoria. Uganda ni ndugu wa kweli ,rafiki wa kweli na majirani wema katika shida na Raha.

Hatujawa kuwa wala kuingia katika mgogoro wa aina yoyote ile uwe wa kibiashara ama kiuchumi ama kidiplomasia kati yetu na wao tangia kuingia madarakani kwa Mheshimiwa Yoweli Museveni.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Chuki na Samia Mapenzi kwa watanzania. bora yake yeye,kuliko huyo muuwaji roho za aliowatanguliza zina msubiri ktk dunia hii hakika waislaam tunashauliwa kuomba mwisho mwema,sasa angalia kilichomtokea amekuwa kama Frauni.
 
Vyama ganganizi vya ukombozi zinavyojiweka madarakani kwa miaka 40 chini ya Museveni

Sherehe ya kuapishwa kwa Museveni mwaka 1986

View: https://m.youtube.com/watch?v=ygFtVOe7C2o

Video hii inahusu tukio la kihistoria wakati kiongozi wa zamani wa vita ya msituni (Guerilla war) Yoweri Museveni akiwa na jeshi lake la wakati huo la vuguvugu la NRA la wapiganaji kwa kutumia mtutu wa bunduki walifikia mji mkuu wa Kampala na kuteka mamlaka ya taifa hilo la Uganda na kumaliza miaka 5 ya machafuko na mapigano kati ya serikali na wapiganaji wa msituni.

Sherehe ya kuapishwa kama rais ilifuatiwa na hotuba ya Museveni motomoto alipotangaza kuchukua madaraka na kutangaza kuwa haya si mabadiliko ya walinzi tu bali mabadiliko ya msingi kwa mustakhabali wa taifa hilo la Afrika ya Mashariki
 
Nadhani hakuna kipindi Vice anakuwa hana Amani kama kipindi ambacho pres yuko nje.
Na mambo yako hivi.
 
Back
Top Bottom