Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Huyo yalama azizoee tu hizi trips fupifupi. Akienda mbali sana ni China au Uarabuni kwa wajomba. Faki zati bi+ch!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa siku ya Kesho kuondoka Nchini kuelekea Nchini Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Uapisho wa Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni Ambaye ameongoza Taifa Hili Kwa takribani Miongo 4 Mfululizo tangia Mwaka 1986 .
Rais wetu Mpendwa anaendeleza ushirikiano wetu ambao tumekuwa nao na ambao umekuwa wa kihistoria. Ambao umejengwa katika misingi ya undugu wa kihistoria. Uganda ni ndugu wa kweli ,rafiki wa kweli na majirani wema katika shida na Raha.
Hatujawa kuwa wala kuingia katika mgogoro wa aina yoyote ile uwe wa kibiashara ama kiuchumi ama kidiplomasia kati yetu na wao tangia kuingia madarakani kwa Mheshimiwa Yoweli Museveni.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kashindwa kwenda hata hapo Kenya kwenye mkutano na Macron 😂.Huyo yalama azizoee tu hizi trips fupifupi. Akienda mbali sana ni China au Uarabuni kwa wajomba. Faki zati bi+ch!
Kila la kheri Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kipenzi cha waTanzania woteNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa siku ya Kesho kuondoka Nchini kuelekea Nchini Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Uapisho wa Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni Ambaye ameongoza Taifa Hili Kwa takribani Miongo 4 Mfululizo tangia Mwaka 1986 .
Rais wetu Mpendwa anaendeleza ushirikiano wetu ambao tumekuwa nao na ambao umekuwa wa kihistoria. Ambao umejengwa katika misingi ya undugu wa kihistoria. Uganda ni ndugu wa kweli ,rafiki wa kweli na majirani wema katika shida na Raha.
Hatujawa kuwa wala kuingia katika mgogoro wa aina yoyote ile uwe wa kibiashara ama kiuchumi ama kidiplomasia kati yetu na wao tangia kuingia madarakani kwa Mheshimiwa Yoweli Museveni.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Chama cha NRM ni sawa tu na Sisiem kuanzia ideology mpaka rangi zake.
Nilipona U nilifikiri Ubelgiji??? mbona anatuangusha ile ndege Kombo tu ndio anakura misle aende japo Ufaransa basi .Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa siku ya Kesho kuondoka Nchini kuelekea Nchini Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Uapisho wa Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni Ambaye ameongoza Taifa Hili Kwa takribani Miongo 4 Mfululizo tangia Mwaka 1986 .
Rais wetu Mpendwa anaendeleza ushirikiano wetu ambao tumekuwa nao na ambao umekuwa wa kihistoria. Ambao umejengwa katika misingi ya undugu wa kihistoria. Uganda ni ndugu wa kweli ,rafiki wa kweli na majirani wema katika shida na Raha.
Hatujawa kuwa wala kuingia katika mgogoro wa aina yoyote ile uwe wa kibiashara ama kiuchumi ama kidiplomasia kati yetu na wao tangia kuingia madarakani kwa Mheshimiwa Yoweli Museveni.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Chuki na Samia Mapenzi kwa watanzania. bora yake yeye,kuliko huyo muuwaji roho za aliowatanguliza zina msubiri ktk dunia hii hakika waislaam tunashauliwa kuomba mwisho mwema,sasa angalia kilichomtokea amekuwa kama Frauni.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa siku ya Kesho kuondoka Nchini kuelekea Nchini Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Uapisho wa Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni Ambaye ameongoza Taifa Hili Kwa takribani Miongo 4 Mfululizo tangia Mwaka 1986 .
Rais wetu Mpendwa anaendeleza ushirikiano wetu ambao tumekuwa nao na ambao umekuwa wa kihistoria. Ambao umejengwa katika misingi ya undugu wa kihistoria. Uganda ni ndugu wa kweli ,rafiki wa kweli na majirani wema katika shida na Raha.
Hatujawa kuwa wala kuingia katika mgogoro wa aina yoyote ile uwe wa kibiashara ama kiuchumi ama kidiplomasia kati yetu na wao tangia kuingia madarakani kwa Mheshimiwa Yoweli Museveni.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anaona sooImekuaje hajaenda Nairobi kwenye Africa-France Summit?
Sio kawaida yake! Kweli mambo yamechacha.