Rais Samia kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kesho Machi 31, 2022

Rais Samia kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kesho Machi 31, 2022

Nafikiri hii ni forum nzuri kwa viongozi wetu wa chama kujitafakari kwa nini asilimia 93 ya watanzania wameMmiss Magufuli.

Watu wanataka viongozi wawajibikaji, wachapakazi, wenye uchungu na mali za umma na wanaojali wanyonge wanaotafuta rizki zao kwa shida aina hii ya kiongozi waliipata kwa Magufuli.

Leo upigaji na manyanyaso yamerudi kila kona mpaka wauza unga wanatamba mtaani.
Kama mmemmiss kamfufueni dada, tafuta pesa hili hao wauza unga wasikutambie mtaani
 
Hatutapata tena Rais wa aina ya JPM kwa kuwa sie ni Wajinga tulishindwa kuienzi na kuitunza 'Lulu' ile ambayo tuliipata kwa bahati mbaya tu kutokana na 'ugomvi wa majambazi'

Kwa jinsi alivyopata shida JPM kutupigania huku akikosa support ya waliopaswa kum support hakuna Rais atakaejaribu kuwa kama JPM…atakuwa anajisema 'cha kufia nini…'
Hilo jitu mnalikumbuka nyinyi,,, Magufuli angekuwa best president Kama angefata demokrasia na kuacha roho mbaya, ndo maana watanzania wamegawanyika, kwenye kumkubali
 
Rais analalamika kwamba viongozi hawana uwezo lakini anaogopa kuwafuta kazi.

Kama mtu hana uwezo muondoe weka mwingine.
Samia hawezi kufanya huo ujinga, mshazoea utawala wa dikteta kutimua watu hovyo hadi Wengine walianguka kwa presha nakufariki,
Subiri chama chenu Cha Cuf kishike nchi mje mtawale kwa mkono wa chuma Kama hayati
 
Ikifika 2024 utasikia kuwa Bwawa litakamilika 2026!Taifa linaongozwa na vibaka🚶🚶🚶
View attachment 2169989
AAXv4U.jpeg
 
Haya Nyerere aliweza aliyoyaweza kwa sababu hakuheshimu wala kufuata Demokrasia

Hata level ya Familia…ma Baba wanaojifanya wana Demokrasia Familia hukosa nidhamu…
Hilo jitu mnalikumbuka nyinyi,,, Magufuli angekuwa best president Kama angefata demokrasia na kuacha roho mbaya, ndo maana watanzania wamegawanyika, kwenye kumkubali
 
Samia hawezi kufanya huo ujinga, mshazoea utawala wa dikteta kutimua watu hovyo hadi Wengine walianguka kwa presha nakufariki,
Subiri chama chenu Cha Cuf kishike nchi mje mtawale kwa mkono wa chuma Kama hayati
Wewe ni among them mtafukuzwa tu when the right time comes.
 
Naanza kuamini Utafiti wa Kisayansi uliofanywa na shirika la Twaweza na kubaini kuwa CCM inaungwa mkono na wanachama wengi wajinga. Kikao chao pia kinaketi Tarehe 1 April ambayo ndiyo siku ya Wajinga Duniani. Sidhani Kama hii imetokea kwa bahati mbaya.
Maendeleo hayana Vyama.
We nyumbu hovyo kabisa, Ina maana tar 1 April wewe na nyumbu wenzako mtajifungia ndani mkae tuu ili msiwe wajinga?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hilo jitu mnalikumbuka nyinyi,,, Magufuli angekuwa best president Kama angefata demokrasia na kuacha roho mbaya, ndo maana watanzania wamegawanyika, kwenye kumkubali
Nitajie rais ambae raia hawajagawanyika kwenye kumkubali, huyu aliyepo tu watu washagawanyika hata kabla hajamaliza mwezi madarakani.

Au na yeye hafati demokrasia??
 
Naye Bernad Membe amerudi kundini. WITHER SUKUMA GANG.

Mungu Ibariki Tanzania, siasa za chuki zimeshindwa
 
Bibi wa Taifa😁😁😁
 
Back
Top Bottom