Rais Samia kuongoza uzinduzi wa filamu ya Royal Tour
Wakikosea wakosolewe na wakifanya vyema wapongezwe.
... Unafiki Mkuu! Kesho watasimama majukwaani mbele ya wanyonge kuwananga mabeberu! Wangekuwa wanaongea ukweli siku zote wala isingekuwa na shida. Tatizo unafiki.
 
Wasiwasi wangu vile jinsi ilivyotengenezwa....

Ngoja tuone ...
Wahusika wakuu,wahusika duara ,wahusika wajenzi,manzali, vinaendana na jina na kilichomo ndani!!?

Wasije kutuletea kitu chaajabu hapa.
Kionjo hicho hapo.
 
Attachments

  • 656f38cb85ebcc89b2b3f53c2bef9773.mp4
    6.1 MB
Tushamzoea
IMG-20220416-WA0036.jpg
 
... nimeuliza kwanini haikuzinduliwa nchini badala yake uzinduzi unafannyika kwa beberu Mkuu?
Kwa sababu inahusu utaliii, inalenga kuvutia utaliii na watalii wengi wanatokea U.S.A
 
Kwa sababu inahusu utaliii, inalenga kuvutia utaliii na watalii wengi wanatokea U.S.A
Muache basi kuwatukana mkiwa majukwaani! Na muwe mnawaalika kwenye mikutano yenu ya chama kama vyama rafiki.
 
Muache basi kuwatukana mkiwa majukwaani! Na muwe mnawaalika kwenye mikutano yenu ya chama kama vyama rafiki.
Usichanganye Uhuru wetu na mahusiano yetu ya kimataifa
 
Anayefanya vyema anastahili pongezi
Pongezi huwa hailazimishwi. Kwa jinsi unavyojipa jukumu la ku attack comment ya kila unaehisi hapongezi, ni wazi kuwa una lazimisha hongera.

Ukikubali wewe inatosha, usianze kuita watu wapingaji kwa vile tu wapo kinyume na mtazamo wako.
 
Na vile vichapio vya mama yetu .lugha gongana mviondoe maana nilisikia sehemu moja akimwambia peter .we are safety here .mweeeee
 
... kipi muhimu zaidi?
Uhuru unatangulia na mahusiano hufuata.

Hata mabeberu hulinda kwanza uhuru wao kabla ya mahusiano mfano nchi za ulaya magharibi zililaani udukuzi waliofanyiwa viongozi wao na USA ( mshirika wao)
 
Pongezi huwa hailazimishwi. Kwa jinsi unavyojipa jukumu la ku attack comment ya kila unaehisi hapongezi, ni wazi kuwa una lazimisha hongera.

Ukikubali wewe inatosha, usianze kuita watu wapingaji kwa vile tu wapo kinyume na mtazamo wako.
Upotoshaji lazima ukemewe
 
Uhuru unatangulia na mahusiano hufuata.

Hata mabeberu hulinda kwanza uhuru wao kabla ya mahusiano mfano nchi za ulaya magharibi zililaani udukuzi waliofanyiwa viongozi wao na USA ( mshirika wao)
... mahusiano yetu na China na Urusi ni ya kiuhuru au kimahusiano?
 
Upotoshaji lazima ukemewe
Jifunze kukubali kutokukubali. Kupinga jambo sio kupotosha bali ni haki ya kuwa na mtazamo tofauti.
Lakini ni wazi umeshupalia kupinga haki ya wengine kuwa tofauti na mtazamo wako.

Uwe na usiku mwema sasa maana inaelekea umekalia kupinga tu hapa. Ukute unalipwa kwa unachofanya hapa, naishia kupoteza muda wangu kumbe mwenzangu upo kazini kupromote movie.
 
Kionjo hicho hapo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Wacha utani....duh!!
Hahahahahahahahahaha......

Walitakiwa watafute watu kama kina bushman ...

Masikini tozo zetuu......!!
 
Back
Top Bottom