Haya ni mahaba niue ya watu na rais wao yasiyokuwa ya kulazimishwa:
Haya ndiyo ya TAL na wananchi wakiwamo mapolisi wako unaowatuma kumkamata au kutupiga na kutunyanyasa.
Uongo mbaya hapendwi mtu bali matendo!
Kwetu nchi imekosa usimamizi. Kila mtu anafanya lake:
1. Polisi anakana kukamata watu anaoonekana kwenye runinga kuwakamata na hata kuwapiga.
2. Busisi huko ukastaajabu ya Musa!
3. Mahospitalini huko ya ambako ni upigaji wa mnaopaswa kuwasimamia na hata kuwawajibisha, lengo mapato yaingie mifukoni mwao.
4. Mahakamani ndiko huku ambako haijulikani hata ile tume yako ya haki jinai ilikuwa ni kwa madhumuni gani.
5. Kwingineko COVID-19 haijulikani ni kwa kumuwakilisha nani.
6. Ripoti za CAG haijulikani ni kwa madhumuni yapi.
7. Hawa waliovuruga uchaguzi 2019 nao unaridhika nao?
Looh!
List ni ndefu isiyoonekana kuwa na kikomo.
Wenye nchi wananchi uwape nafasi sasa wafanye uchaguzi wa haki:
"Huwa binadamu wavuna walichopanda."
Kama unaamini ulipanda maharage utavuna maharage.
Pia furahia kuvuna bangi kama ndiyo uliyopanda au unayoendelea kupanda au kuwaacha kina Mulilo kuendelea kukupandia.
Na huu ndiyo ulio ukweli mchungu.