OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mchezo wa kuigiza na kula pesa, kwa tukio hilo utaambiwa million 500 zimetumika.Hizo ripoti huwa zinapokelewa wanaongea kwa ukali waliochezea pesa za umma watashughulikiwa baada ya hapo kimya.
CCM ni ile ile.
Tena mdhibiti atuambie waliokula hela miaka ya nyuma wamechukuliwa hatua ganiHizo ripoti huwa zinapokelewa wanaongea kwa ukali waliochezea pesa za umma watashughulikiwa baada ya hapo kimya.
CCM ni ile ile. Ngoja niuone ukali wao wa leo.
Report ya CAG iliweka wazi jinsi Kigwangala alivyofanya ufisadi kwenye Utalii Festival ila baada ya hapo watu bado wanarembuliana macho tu.Hizo ripoti huwa zinapokelewa wanaongea kwa ukali waliochezea pesa za umma watashughulikiwa baada ya hapo kimya.
CCM ni ile ile. Ngoja niuone ukali wao wa leo.
PCCB sijaona cha maana,ngoja tumsubiri MdhibitiRipoti ya PCCB ndiyo inachekesha saa hizi namsikia kamanda anasifia mgao wa fedha Toka mfuko mkuu wa serikali hazina za kujengea ofisi za PCCB mikoani na wilayani,
Wanatupotezea muda na maigizo yao.Report ya CAG iliweka wazi jinsi Kigwangala alivyofanya ufisadi kwenye Utalii Festival ila baada ya hapo watu bado wanarembuliana macho tu.
Hakuna Ssbabu za Kuwa na CAG Kwani REPORTS Zake Hazifanywi Kazi WABADHIRIFU WANALINDANAView attachment 2168977
Leo Rais Samia atakuwa anapokea ripoti ya CAG Charles Kichere kwa ukaguzi wa hesabu za mwaka 2020/2021. Shughuli hivo pevu itaanza saa 4 asubuhi
CAG ana machagua mawili tu,ama kuanika uozo wote wa awamu ya sita au kuchakachua kutaka kuonyesha mama anaupiga mwingi. Kama amenyofoa kurusa zenye uozo warudishe haraka. Namshauri ajifunze kwa Kikosi kazi cha kinyesi cha mifugo,aibu ataipata
Inawezekana imepungua baada ya kuwateuwa Mh William Likuvi kusaidiana na Hangaya kuwasimamia mawaziri,na Mh KABUDi kusimamia mikataba yote serikali inayoingia.PPC wanasema rushwa imepungua nchini