Rais Samia kupokea ripoti ya CAG, Machi 28, 2021 saa nne asubuhi Dodoma

Hiyo ripoti imeandaliwa lini ..kama ni baada ya Magufuli kwenda zake sawa....ngoja tusubiri
Ni vizuri kusoma kabla ya kutoa comments. Imeandikwa wazi kwenye taarifa pale juu kuwa ripoti hii ni ya mwaka wa fedha 2019/2020. Sijui una maana gani kuwa baada ya Magufuli kwenda zake!
 
Rais Samia asipende sana kuonekana kwenye tv kama mtangulizi wake.
 
Kawaida anapokea rais kwanza kisha inaenda bungeni. Ilikuwa ipokelewe mwezi wa 3 mwanzoni ila ndio hivyo ya Mungu mengi
 
Rais Samia asipende sana kuonekana kwenye tv kama mtangulizi wake.
Tena ndo anatakiwa aonekane sana.....ila akiwa anafanya vitu positive.....maandalizi ya 2025.....labda kama hana nia.
 
Mhe.Rais kesho kupokea ripoti ya CAG.View attachment 1735972
Nchi nyingi za Kiislamu Jumapili ni siku ya kazi. Hapa kwetu ni mapumziko, na wengine tunakuwa kwenye nyumba za ibada. Pia kwa siku ya jana, muda huo wengi wetu tulikuwa tukiandamana na matawi kuingia kanisani!!
Zingatia kuwa tukio lilikuwa limepangwa kuonwa na kusikilizwa na watanzania wengi. Je, audience iliyolengwa ni wale wasioabudu siku za Jumapili?

Hata kama sheria inasema isizidi tarehe 28 Machi kila mwaka, hiyo sheria haina kusogezwa endapo kutakuwa na mazingira yaliyotukumba? Kama haina, basi huu ni muda muafaka kufanyiwa marekebisho.
 
Usituchoshe bana. Kwani Magufuli alipokuwa anahutubia kanisani mlikuwa mnaungwa makanisa yote muone live?
Serikali haina dini.

Na kwanini uanze na"katika nchi za kiislam"?
Kwani yakwetu ni ya kikiristo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…