Rais Samia kusaini EPA huko Brussels?

Status
Not open for further replies.
Kijakazi nenda kasome kwanza huo mkataba wa EPA. Issue ya kodi ni misconception ya wapingaji wa Mipango ya Rais Samia. Hii kitu inaopetate kama AGOA ya US.
Wapingaji wa mipango ya Samia?
Huu mkataba haukukataliwa Sasa tu, ulikataliwa wakati wa mkapa, kikwete na Magufuli.
Hao nao walipinga mpango wa hao maraisi?
 


Unarudia kilekile nilichoandika yet you are missing the main point soma hiyo point number 2 sio kwa mtazamo wa mwekezaji wa ndani bali wa nje.

That’s a contract clause ‘stabilisation’ ambayo kama mtu kaja kuwekeza sababu ya kusafirisha uwezi kumzuia baadae kwa maamuzi yako.

Kingine sisi atutoi ardhi kwa mwekezaji bali anakuwa na tenure ambayo inabidi aombe tena lease muda ukiisha EPA inasema permananent.

So ni mambo ambayo atuwezi ingia agreement zilizo generic lazima waelewe existing laws zetu kabla ya ku sign hayo makubaliano.

Labda ndio maana admin ya Magufuli kuna mambo walikuwa wanataka yaeleweke kwanza kabla kusaini.

Wewe unazungumza mambo ya viwanda hivi ukiingia kwa wazalishaji wa watanzania wangapi mashine zao ni Germany engineering au products gani za ulaya zimesambaa Tanzania kutoka ulaya. Exports zao kubwa ni machinery sio ndio kwanza wengi wetu machine zao second hand au from Asia.

Goal la EPA kwa sasa ni security of their people investment lakini sio kusema eti imports they know atuwezi mudu even their cheapest products. Like I said it’s a bad agreement but you need to be careful.
 
Mi mwenzenu natamani kunywa juisi ya embe kutoka Norway.. Ileteni
Elimu Elimu Elimu juice ya embe Norway watoe wapi?Kuna miti ya maembe Norway?Unajua kweli hali ya hewa ya Norway?
 
Ccm ni janga la taifa, hakuna rais hapo
 
Ndo hawezi sasa
 
Kwanini hatuuzi sasa hiyo kahawa?
 
Sidhani kama mkataba wa EPA ni generic kuwa size fits all. Uwapo wa akina Prof Kabudi kwenye ofisi ya Rais hizi ndizo kazi zao. Customization to Tanzanian land laws haikwepeki
 
Kwanini hatuuzi sasa hiyo kahawa?
Kahawa ? Huenda ni Kati ya Bidhaa za Chakula cha Biashara tunayouza sana nje ; Ila tunauza kama nini Raw Material au Processed Product ?

Utagundua tunauza kahawa Ghafi..., Kwahio huenda tatizo likawa sio la kujiunga au kutokujinga EPA bali ni adding Value na kuuza finished products (jambo ambalo EPA) haitabadilisha sana sababu hata mkisaini hio mkaamua muanze kuuza processed product manaweza mkaulizwa kuhusu quality au kuwekewe viwango ambavyo hamuwezi kukidhi mkarudi palepale kwenye kuuza mazao ghafi ili yawe processed pengine.., na hapo mtakutana kwenye soko la ndani hio processed brand kutoka huku, kule na kule ambayo huenda ikaua hata wanaojitahidi ku-process hizo bidhaa...

Sikatai Soko Huria ila liwe Fair (sio chako hakina kiwango bali changu ndio kina kiwango)..., hivyo hauna choice zaidi ya kuuza malighafi
 

Isitoshe hata sasa hivi Tanzania tuna upendeleo maalumu wa kuuza bidhaa zetu EU bila ya kodi hivyo hatuhitaji EPA!
 
Unaogopa mkataba wa EPA ? Why ? Mbona tuna vingi sana vya kuuza kuanzia kahawa, chai, maua, mkonge, wanyama hai, korosho nk

Kwa nini hatuuzi leo hii kabla ya EPA hivi hivyo vyote ulivyovitaja ?
 
Kwahiyo hadi yale magari yatauzwa kwa mfumo huu ama?
 
EU wamemshauri aachane na kesi ya Mbowe la sivyo atanyimwa mkwanja, unavyojua tena mama kukaa mwezi bila kukopa anaumwa.
 
Sidhani kama mkataba wa EPA ni generic kuwa size fits all. Uwapo wa akina Prof Kabudi kwenye ofisi ya Rais hizi ndizo kazi zao. Customization to Tanzanian land laws haikwepeki

Always read on the dotted lines tangia tumeanza kuingia trade agreements kuna ata moja ambayo inalazimisha kurasimisha agreement itungwe sheria na bunge kama EPA inavyotaka.

Soma hiyo article on western perspective uone ni kiasi gani mabeberu yalivyokuwa pissed na Magufuli kuchelewesha hiyo agreement hadi kufikiria kuinyima nchi misaada; ask yourself what’s their desperation I can assure hawana shida sana na vitunguu kutoka Tanzania.

Mambo mengine yanataka careful consideration sio kukurupuka tu.
 
Unapoongea international trade ukamtaja na Magufuli, ninakuwa pissed off. The blood fucking dictator destroyed our economy singlehandedly
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…