View attachment 2120202
Unarudia kilekile nilichoandika yet you are missing the main point soma hiyo point number 2 sio kwa mtazamo wa mwekezaji wa ndani bali wa nje.
That’s a contract clause ‘stabilisation’ ambayo kama mtu kaja kuwekeza sababu ya kusafirisha uwezi kumzuia baadae kwa maamuzi yako.
Kingine sisi atutoi ardhi kwa mwekezaji bali anakuwa na tenure ambayo inabidi aombe tena lease muda ukiisha EPA inasema permananent.
So ni mambo ambayo atuwezi ingia agreement zilizo generic lazima waelewe existing laws zetu kabla ya ku sign hayo makubaliano.
Labda ndio maana admin ya Magufuli kuna mambo walikuwa wanataka yaeleweke kwanza kabla kusaini.
Wewe unazungumza mambo ya viwanda hivi ukiingia kwa wazalishaji wa watanzania wangapi mashine zao ni Germany engineering au products gani za ulaya zimesambaa Tanzania kutoka ulaya. Exports zao kubwa ni machinery sio ndio kwanza wengi wetu machine zao second hand au from Asia.
Goal la EPA kwa sasa ni security of their people investment lakini sio kusema eti imports they know atuwezi mudu even their cheapest products
. Like I said it’s a bad agreement but you need to be careful.