Rais Samia kushiriki Siku ya Mashujaa leo Julai 25

Rais Samia kushiriki Siku ya Mashujaa leo Julai 25

Nchi imejaa vilaza, mtu ambaye amesoma chuo nje hawezi kuwa msifiaji kijinga hivi, tuangalie mfumo wetu wa elimu, Lucas amezaliwa Chunya certificate amesoma Chuo cha utumishi Tabora, atapata wapi akili?
Hivi na wewe una akili? Unaweza kukaa na wenye akili ukajadiliana nao mambo ya msingi?
 
Nyerere alikuta watu wanatembea matako wazi kabisa na kuvaa ngozi ...hivyo viraka ilikuwa ni hatua ya maendeleo wakati wa waarabu na wakoloni tulikuwa tunatembea uchi kabisa ...wapumbavu wengi kama nyinyi ndiyo mnataka kutudanganya kuwa mkoloni alimkabidhi Nyerere nchi yenye maisha bora kumbe wakati wa mkoloni maisha yalikuwa mabovu kuliko wakati wa Nyerere
Mpuuzi kweli,wakati wa Nyerere watanganyika walikua wanasema afadhali ya mkoloni, Nyerere akawapiga mikwala,tabora walitengeneza nguo kabla mzungu hajatia pia Tanganyika,so harakati za uhuru watu walikua uchi au walivaa ngozi!?.. Nyerere kule butiama mpaka tabora school hakuwa na nguo?! Akina mkwawa walipigana Vita wakiwa uchi au walivaa ngozi!?
 
Mmmmh!
Yana ukweli hayo?? Mbona mara nyingi sana humu mtandaoni umekuwa ukiandika pumba? Hiyo ndio zao la hiyo elimu kubwa unayodai kuwa nayo?
Kama akili yako ni ndogo huwezi ukaelewa. Ni sawa na mtu asiye na akili akiokota dhahabu halafu wewe ukaenda kumbadilishia na kumpatia jiwe linalong'aa na kumwambia ndio dhahabu atashangilia na kufurahia kama zuzu.
 
Mpuuzi kweli,wakati wa Nyerere watanganyika walikua wanasema afadhali ya mkoloni, Nyerere akawapiga mikwala,tabora walitengeneza nguo kabla mzungu hajatia pia Tanganyika,so harakati za uhuru watu walikua uchi au walivaa ngozi!?.. Nyerere kule butiama mpaka tabora school hakuwa na nguo?! Akina mkwawa walipigana Vita wakiwa uchi au walivaa ngozi!?
Tanzania kuna marais 2 tu wengine wote hawafai nao ni Nyerere na Magufuli basi
 
Back
Top Bottom