Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

Nyie walamba mata ko [emoji527], ni sumu kubwa kwenye nchi yetu, huu ugonjwa anko magu katuachia, sijui angekaa miaka yote ingekuwaje.

Praise team ni shida, mnaongea fix, na hata kama ikitokea mama kafanya kweli, sio anafanya kwa hisani yake ni wajibu wake ndio kilichomuweka pale na ndio anapaswa kufanya ili abaki madarakani 2025
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Tanzania kwa miaka yake yote 60 haijawahi kupata Rais Mwanamke ,

1.Mchapakazi

2. Mchamungu,

3. Mpole

4. Mwadilifu,

5. Mpendahaki,

#HAKIKA HAKUNA KAMA SAMIA
 
Bei Imeshuka?
 
Sawa. Maamuzi ya busara na hekima haya. Naamini ungeandika "Serikali" badala ya "Rais" ingesikika vizuri zaidi. Kumtaja Rais kwa haya majukumu ya kawaida ya serikali wengi mnawakera. Watarudi paleeee "kila kitu kafanya Rais" Tumtaje kwenye mikopo tunayopata, misaada, teuzi mbalimbali, mambo makubwaaa na maelekezo/maagizo yake. Mengine ibakie Serikali kama zamani.
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Tanzania salama kabisa
 
Tutafanikiwa zaidi Tanzania
 
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…