GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Simba SC inashiriki Kombe la Wanamume wa Shoka na Klabu nyingine inashiriki Kombe la Wadada na Walioshindwa je, iweje leo Wote wapewe Kiasi sawa cha Fedha Shilingi Milioni Tano kwa kila Goli?
Kuipa / Kuwapa Simba SC inayoshiriki CAFCL Shilingi Milioni Tano ni Kututukana na Kutudhalilisha wana Simba SC na nauomba Uongozi wa Simba SC kuanzia sasa uwe Unagomea hizo Fedha za Rais Samia.
Kama kuna Wapuuzi watanibishia na kunikatalia hili wajiulize ni kwanini Wao hawapo CAFCL na wapo Kombe la Losers ( Walioshindwa ) la CAFCC?
Hivi CAF huwa wanatoa Fedha sawa kwa Washindi wa CAFCL na CAFCC? Kama jjbu ni hapana je, GENTAMYCINE nikisema Rais Samia kutoa Fedha za Magoli kwa Simba SC iliyoko CAFCL na Yanga SC walioko CAFCC si sawa nitakuwa nakosea?
Simba SC inayoshiriki CAFCL ipewe na Rais Samia kwa kila Goli Shilingi Milioni 25 na Yanga SC iliyoko CAFCC ndiyo ipewe Shilingi Milioni Tano hiyo kwa kila Goli.
Yaani Goli la Clatous Chota Chama kama lile la Juzi dhidi ya Vipers FC ulinunue kwa Shilingi Milioni Tano kweli?
Acheni Kutukera na Kutudhalilisha wenye Akili na wana Simba SC sawa? Nasubiri sasa Mapovu yenu.
Imeisha hiyo......!!!!!